Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwenye tangazo lao la kipindi hicho kipya wameweka sauti ya Magufuli akiongea kwa zaidi ya sekunde kumi akisema "maendeleo ya kweli yatatoka kwenye kiongozi anayetoka CCM"
Alafu naweka sauti ya Lowassa anasema "Peopleees zungusha zungusha"
Moya kwa moja promo hii ni kampeni ya kwa CCM maana mgombea wake ana nadi sera za chama au kujipigia debe, kama wako huru na siyo kampeni kwa ccm , walipaswa kuweka sauti ya Magufuli akisema "CCM oyeee" ili kuendana na anachozungumza Lowassa kwani Lowassa anatoa salamu ya chama na Magufuli ana nadi sera za chama.
Hili ndilo bao la mkono alilosema Nape.
ICC inawapumulia kwapani

Hivi mbona naona ni vitu vidogo sana
Wana haki ya kubaki ccm usilazimishe watu kumfuata Lowassaninyi mna mwongelea bwana joseph kusaga na ruge?
Hawa ni walamba miguu wa ccm.niwa nafiki sana hawa watu. Kipindi lowassa yupo ccm hawa hawa walikua kila siku lowassa lowassa lakini leo lowassa kaamia chadema imekua nongwa kwao sasa wanajikomba kwa magufuli.
Mimi uwaga siwapendi watu wanafiki kama hawa hata watangazaji wao wamesha wa ambukiza hiki kitabia, wakina harson kamoga na samwel sasari kile kipindi chao cha 360% kimekua ni umbea umbea unafiki mtupu,
ngoja mzee wa maamuzi magumu aingie ikulu utawaona tena wanageuza mwelekeo na kutaka kumwandalia dhifa ili kujikomba komba,
Samahani mkuu, kwani Lowassa ana sera? Maana sijasikia sera yake hata moja zaidi ya kuiponda CCM tu.