Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

Samahani mkuu, kwani Lowassa ana sera? Maana sijasikia sera yake hata moja zaidi ya kuiponda CCM tu.

Anazo sana mkuu, kuondoa umasikini kwa watanzania, elimu bora na kipaumbele namba moja kwenye serikali yake.. Vipi magufuli serw yake ni Laptop kwa kila mwalimu au siyo mkuu
 
Wapige promo kwa ccm hata usiku kwa mchana, safari hii kula yangu hawapati full stop!
 
Samahani mkuu, kwani Lowassa ana sera? Maana sijasikia sera yake hata moja zaidi ya kuiponda CCM tu.

Tunaingia madarakan kurekebisha walipi pindua CCM!!!kuponda ccm ndio habar ya mjin!!!!!Hasante kwakua makin kumsikiliza RAIS WETU maana mm sijawah kumsikiliza huyo KOMEO
 
Kumbe watz tumeamka ..nilifikiria hivyo pia..hawa jamaa wanaonyesha mahaba ya dhati kwa CCM..pia hata habari za ukawa zinatangazwa sio km zinavyostahili..mfano mwanza hawakuonyesha lile nyomi..walionyesha baadhi ya wana ukawa lkn haikua rahisi kusikia wanachokisema as sauti ilikua very poor..nadhan wanatumika kuhujumu UKAWA..u don't need to hold shahada ya uzamivu to realise that...

Kuamka bado hatujui jizi wala nini kazi ushabiki
 
Nyie Vp Adui Wa Mabadiliko Ya Nan?Kumbuken Hawa Ndiyo Chombo Pekee Kinachoiponda Tbc1 Kwa Kutokua Fair Katka Utangazaj Wa Magazet Kila Cku Asubuh Hawa Ndo Wanalipgia Kelele Since Last Week,af Leo Mnasema Et Adui Wa Mabadiliko Acheni Mihemko Ya Vyama Yenu Katika Kufikria....

mkuu samahani, ebu kajifunze kuandika kwanza kabla ya kujadili hoja ambazo zimezidi fikra zako
 
Baada ya October 25, wataona aibu ya mwaka, sawa na tbc1
 
Wa tz co wajinga ndugu wa2 2shavurugwa at a waweke nn CDM c m ndo habar ya jj
 
ha ha ha ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!
 
Clouds Fm ni kitengo cha propaganda cha CCM.

ni wapumbavu wachache wenye mihemko yenu ya kisiasa mnaokuja nakuongea pumba kama hz,hamkai na kusikiliza wanavotangaza kazi kuja kurukia na kuponda kisa mtu mpuuzi mmoja mtoa mada kasema..
 
Back
Top Bottom