Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

Kataza wanafamilia wako wote kusikiliza hiyo radio, mimi rafiki yako nimeshaachana nayo kabisa. Nilikuwa nazikiliza katika gari always... nikaona ni wendawazimu sana hasa nilipoona wanasoma magazeti kihuni zaidi.

Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Kwenye tangazo lao la kipindi hicho kipya wameweka sauti ya Magufuli akiongea kwa zaidi ya sekunde kumi akisema "maendeleo ya kweli yatatoka kwenye kiongozi anayetoka CCM"

Alafu naweka sauti ya Lowassa anasema "Peopleees zungusha zungusha"

Moya kwa moja promo hii ni kampeni ya kwa CCM maana mgombea wake ana nadi sera za chama au kujipigia debe, kama wako huru na siyo kampeni kwa ccm , walipaswa kuweka sauti ya Magufuli akisema "CCM oyeee" ili kuendana na anachozungumza Lowassa kwani Lowassa anatoa salamu ya chama na Magufuli ana nadi sera za chama.

Hili ndilo bao la mkono alilosema Nape.
 
CloudsFm inatumiwa Na ccm hakuna shida ila msijemkajuta 2015 octoba .dhambi ya kumtukana lowassa kupitia redio Na televisheni yenu itawaangamiza
 
ambali;13667913]Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Kwenye tangazo lao la kipindi hicho kipya wameweka sauti ya Magufuli akiongea kwa zaidi ya sekunde kumi akisema "maendeleo ya kweli yatatoka kwenye kiongozi anayetoka CCM"

Alafu naweka sauti ya Lowassa anasema "Peopleees zungusha zungusha"

Moya kwa moja promo hii ni kampeni ya kwa CCM maana mgombea wake ana nadi sera za chama au kujipigia debe, kama wako huru na siyo kampeni kwa ccm , walipaswa kuweka sauti ya Magufuli akisema "CCM oyeee" ili kuendana na anachozungumza Lowassa kwani Lowassa anatoa salamu ya chama na Magufuli ana nadi sera za chama.

Hili ndilo bao la mkono alilosema Nape.
[/QUOTE]

Redio ya machoko
 
Sawa kama kiongozi bora atatoka ccm basi ndo lowasa maana ndio ametoka ccm. ukawa kama kawaida watashida mrad tu tukapge
 
Siku hizi sisikilizi clouds fm radio na nimejitoa kwenye Acount zao zote za social media. They are pro CCM 100%
 
mbona joseph kusaga alisema labda waseme ni chadema maana mbowe ni rafiki yake mkubwa
 
Lowasa anawaza pombe na ndo maana akasema zungusha chizi huyo ameingia chama bila kujua kanuni na lengo kuu
 
CLOUD FM ni chombo cha habari binafsi, hivyo uongozi wake una utashi wa kuamua uegemee au upendelee upande gani wa siasa za nchi kwa maslahi yao bila kujali wewe au watu wengine wanafikiri nini. Ingekuwa chombo cha habari cha umma kama TB hapo unayo haki ya kulalamika kwa vyombo binafsi vyenyewe vinaangalia upepo wa siasa ukoje na wao wanafuata kwa maslahi yao.
 
naamini sikumoja clouds watatupiganisha tuuu nchi hiii

hv kati ya tbc1 na clouds ipi itatupiganisha?tbc hawatangazi habar za ukawa kipindi cha magazeti, clouds ndio chombo kinachoipgia kelele tbc kwanin hawapo fair,leo hii wew ndo uje kusema itatupiganisha?kwanin mnapenda kusema vitu ambavyo ni vyepesi kuviprove ni wrong lakin hamtaki kuprove kazi kushabikia?
 
Samahani mkuu, kwani Lowassa ana sera? Maana sijasikia sera yake hata moja zaidi ya kuiponda CCM tu.

Naomba sera ya CCM mkuu. Usiseme kuletea Watanzania maendeleo au kuwapa Watanzania maisha bora kwani hilo walishashindwa for more than 50 years
 
Back
Top Bottom