Kwani ccm wana habari mzuri kama chama wao ni ngumi tu hadi mawaziri wanapiganamkiwamaliza kuwasema clouds, nendeni na ITV pia, wao habari zao khs ccm huwa ni zile mbaya mbaya tu
Hilo tangazo ni dhahiri shairi linatumika as promo for ccm
Ruge ameshakunja 1b kwaajili ya kazi hiyo yakumchafuwa mgombea wa ukawa kwahiyo hapo wako kazini
Ni kwa sababu ccm hakuna zuri wanalofanya zaidi ya matatizo kila kukichamkiwamaliza kuwasema clouds, nendeni na ITV pia, wao habari zao khs ccm huwa ni zile mbaya mbaya tu
Hawana tofauti na wewe ambae ni MLAMBA MIGUU ya MBOWE....................Na jiangalie sana utaolewa kam hawa.............................................ninyi mna mwongelea bwana joseph kusaga na ruge?
Hawa ni walamba miguu wa ccm.niwa nafiki sana hawa watu. Kipindi lowassa yupo ccm hawa hawa walikua kila siku lowassa lowassa lakini leo lowassa kaamia chadema imekua nongwa kwao sasa wanajikomba kwa magufuli.
Mimi uwaga siwapendi watu wanafiki kama hawa hata watangazaji wao wamesha wa ambukiza hiki kitabia, wakina harson kamoga na samwel sasari kile kipindi chao cha 360% kimekua ni umbea umbea unafiki mtupu,
ngoja mzee wa maamuzi magumu aingie ikulu utawaona tena wanageuza mwelekeo na kutaka kumwandalia dhifa ili kujikomba komba,