Clouds FM acheni Utoto

Clouds FM acheni Utoto

Bwana mdogo
Umekurupuka eeeh historia niijue mara ngapi sasa
O ww unayonyingne utuelezee
 
Mimi kuna siku asubuhi nimeamka najiandaa kutoka nikasikia pumba zinaongelewa kwenye tv kuna mtangazaji wao anavaa miwani na dada mmoja hivi wanapoteza muda kuongea pumba tu nikajiuliza hivi hawa watu wanajiaandaa before au.
 
Maisha ni kuchagua nadhani clouds FM ndo wamechagua aina hiyo ya maisha na sidhani kama wanavunja sheria ingekua kuna kitu hakipo sawa TCRA wangeingilia kati wao ni taasisi binafsi na wana aina yao ya maisha hivyo tuwaache tu kumbukeni Magic FM kwa muda mrefu walikua hawapigi nyimbo za Diamond mpaka pale walipomaliza tofauti zao pia East Africa Tv n Radio kama sio IPP kwa ujumla kuna wakati nao walikua hawachezi nyimbo za ally kiba audio mpaka video so to me sioni tatizo lolote usipopigwa huku utapigwa kule pia dunia ni kubwa huwezi kumfurahisha kila mtu
 
Kuna wakati Lady JD alikuwa South Africa kwenye kora award kwa hisani ya Madame Rita, Ruge alikuwemo pia !
Madame Rita alirudi vipande vipande kwa scandal ya Ruge na JD !
Sijui walifanya nini !?

Hahahahahaha... hiyo scandal naikumbuka sana. Enzi za Shigongo katika ubora wake 2000 to 2004.

Kifupi Ruge alikula mbunye wa Jide kabla Gadner hajaingia hapo mawingu. Hilo saga hata Gadner analijuaga poa... kamuulize JUMA NATURE kisa cha kutemana na Sinta ni nani. Make jamaa alikua anadonyoa mzigo Kimyakimya na kumkomoa nature,Ruge akamuhamishia Sinta Mwanza walikokua wamefungua kituo kipya cha clouds. Nature kalia mwisho kawa mpole akakubali ku-share mzigo na wakubwa ikafika hatua akawa anapewa kwa masharti uzalendo ukamshinda akaamua kubwaga.

Swala la Jide huwezi kuwalaumu Clouds kwani aliyataka mwenyewe kwa kutoa angalizo wasipige nyimbo zake, sasa ulitaka wafanyeje? Kibaya zaidi hata hata wasanii hao akina MwanaFA na Ben Paul ashagombana nao kitambo hivyo hata wao wasingependa kusikia sauti ya Jide kwenye nyimbo zao.

Ni kama Zay B alivyogombana na Inspector Haroun akatoa Remix ya Niko Gado na NATURE. ile orignal ya Babu hata kwenye mitandao hapendagi kuiweka.

Hili suala sio la Clouds tu bali ni karibia vituo vyote vya habari. Ukiwaletea usen.ge wanakupotezea. Peleka ipp habari nzuri za Muhongo,manji,rostam,masilingi, masha na wengineo waliowahi kugombana na Mengi uone kama zitatangazwa.

Ipp waliwahi kugombana na RayC wakampotezea hadi alipopelekwa na Ruge kwa Mengi kuombewa Msamaha ndipo zikaanza kuchezwa EATV na Radioni.

Mwaka Juzi 2013 Times Fm zaidi ya miezi 6 hawakucheza nyimbo za Diamond. Walikua na mgogoro naye. Hata nyimbo za Davido sina hakika kama zinachezwa toka kisanga kile cha FIESTA 2014. Karibia Media Zote zina taratibu zake za kujiongoza ukienda nazo tofauti unakula ban la maisha au jela ya muda.

Kuendelea kuinyooshea kidole Media moja na kuziacha media nyingine kwa makosa au maamuzi yaleyale ni kielelezo tosha kuwa Clouds inakubalika sana kiasi kwamba kila wafanyacho wao inakua bonge la story. Hata wakijamba mtakuja hapa kujadili. Hizo ndo dalili za mtu aliyefanikiwa. Hata ukifanya upuuzi unajadiliwa.

Fiesta mashabiki wamemzomea Diamond ma-hater kibao wamekuja hapa kuwalalamikia na kuwatukana clouds kama ndo wamepanga dili lote. Juzi kwenye tamasha la Tigo kwa kushirikiana na IPP, DIAMOND huyohuyo kazomewa pale Leaders wala hamjaja hapa kutoa mapovu kuwalaumu EATV kama mlivyofanya kwa Clouds fm... inamaanisha wanafanya vizuri ndio maana ma-haters wachache mnalazimishaga watu tuamini kuwa wanakosea kweli kumbe kelele tu za kipuuzi...

HII NCHI IMEJAA WACHAWI WENGI SANA, KIBAYA ZAIDI WENGI WAO NI VIJANA.
 
Siku zote mlaji ndo anae faamu ladha ya bidhaa. Ukipitia post zote umu utaona nyingi ni lawama kwa clouds...........clouds bado wapo sokoni na wataendelea cse matangazo ndo kazi yao .... sasa baadhi ya wachache muache kuwatetea waacheni watu watoe dukuduku. Kuliko wakae kimya mwisho wa siku wakapotezwa sokoni ...kama vipi wajibu wenyewe .

Anaekupenda ata kusahihisha ili muendelee kwenda sambamba
 
Hivi hii redio bado ina wasikilizaji?

Hahahahahaha. Misukule kama hii inanifurahisha(ga) sana. Sasa ingekuwa haina wasikilizaji ungekuta mada ya kuwajadili hapa? Radio ya Wakimbizi Kwizela ina wasikilizaji kibao kule Kanda ya Ziwa. Radio Imaan ya Magaidi inasikilizwa sana Sembuse ije kuwa Radio ya Watu iliyoenea nchi Nzima boda mpaka boda ni mwendo wa burudani?

Si ajabu nyie ndo mnasikiliza mpaka vipindi vya akina mama na vya majungu kama Leo Tena na Jahazi ila kwakujifanya mnakandia ndo hamjambo. Acha unafiki wewe.
 
Radio ya watu.....
Inayoua vipaji vya watu.....!
 
Maisha ni kuchagua nadhani clouds FM ndo wamechagua aina hiyo ya maisha na sidhani kama wanavunja sheria ingekua kuna kitu hakipo sawa TCRA wangeingilia kati wao ni taasisi binafsi na wana aina yao ya maisha hivyo tuwaache tu kumbukeni Magic FM kwa muda mrefu walikua hawapigi nyimbo za Diamond mpaka pale walipomaliza tofauti zao pia East Africa Tv n Radio kama sio IPP kwa ujumla kuna wakati nao walikua hawachezi nyimbo za ally kiba audio mpaka video so to me sioni tatizo lolote usipopigwa huku utapigwa kule pia dunia ni kubwa huwezi kumfurahisha kila mtu

Asante sana kwa kuweka kumbukumbu sawa. Nilikua navuta kumbukumbu zinapotea. Alli kiba EATV na IPP kwa ujumla kuna kipindi walikua hawapigi nyimbo zake lakini hatujawaona mnaleta malalamiko hapa. Nahisi ma-haters wivu tu ndo unawasumbua. Si mna ka-radio kenu pale Kawe mmeanzisha ili kuondoa huzi figisufigisu sasa hizi kelele zote za nini badala ya kutenda? Tena nasikia kalianzishwa kwa lengo maalum kushindana na Media moja tu kana kwamba ndo iliyopo bongo tu. Naona kapo busy na michiriku na komedi za mkude. Hahahahaha bongo raha sana.
 
Sasa anaposema nyimbo zake zisipigwe ni kwamba anawaambia akina Ruge au Joe hapo? Ruge anakaa studio? Kusaga aanakaa studio? Tangu lini Ruge au Kusaga akapiga nyimbo studio? Kwanza yeye hakusema Ruge au Kusaga wasipige nyimbo zake bali alisema Clouds wasipige... sasa Clouds ni mtu au taasisi? Alitaja majina kwenye msiba... hapa alisema wazi kwamba siku Jide akifa, Joseph Kusaga na Ruge wasikanyage kwenye msiba wake na kwamba wakienda, watu wawapige mawe!

Wee nawe sikuelewi naona kama sms imeingia uajitaidi kuitoa inagoma.
 
NasDaz ni mmoja wa clouds presenters. ...getting very defensive and personal.
 
Hahahahahaha... hiyo scandal naikumbuka sana. Enzi za Shigongo katika ubora wake 2000 to 2004.

Kifupi Ruge alikula mbunye wa Jide kabla Gadner hajaingia hapo mawingu. Hilo saga hata Gadner analijuaga poa... kamuulize JUMA NATURE kisa cha kutemana na Sinta ni nani. Make jamaa alikua anadonyoa mzigo Kimyakimya na kumkomoa nature,Ruge akamuhamishia Sinta Mwanza walikokua wamefungua kituo kipya cha clouds. Nature kalia mwisho kawa mpole akakubali ku-share mzigo na wakubwa ikafika hatua akawa anapewa kwa masharti uzalendo ukamshinda akaamua kubwaga.

Swala la Jide huwezi kuwalaumu Clouds kwani aliyataka mwenyewe kwa kutoa angalizo wasipige nyimbo zake, sasa ulitaka wafanyeje? Kibaya zaidi hata hata wasanii hao akina MwanaFA na Ben Paul ashagombana nao kitambo hivyo hata wao wasingependa kusikia sauti ya Jide kwenye nyimbo zao.

Ni kama Zay B alivyogombana na Inspector Haroun akatoa Remix ya Niko Gado na NATURE. ile orignal ya Babu hata kwenye mitandao hapendagi kuiweka.

Hili suala sio la Clouds tu bali ni karibia vituo vyote vya habari. Ukiwaletea usen.ge wanakupotezea. Peleka ipp habari nzuri za Muhongo,manji,rostam,masilingi, masha na wengineo waliowahi kugombana na Mengi uone kama zitatangazwa.

Ipp waliwahi kugombana na RayC wakampotezea hadi alipopelekwa na Ruge kwa Mengi kuombewa Msamaha ndipo zikaanza kuchezwa EATV na Radioni.

Mwaka Juzi 2013 Times Fm zaidi ya miezi 6 hawakucheza nyimbo za Diamond. Walikua na mgogoro naye. Hata nyimbo za Davido sina hakika kama zinachezwa toka kisanga kile cha FIESTA 2014. Karibia Media Zote zina taratibu zake za kujiongoza ukienda nazo tofauti unakula ban la maisha au jela ya muda.

Kuendelea kuinyooshea kidole Media moja na kuziacha media nyingine kwa makosa au maamuzi yaleyale ni kielelezo tosha kuwa Clouds inakubalika sana kiasi kwamba kila wafanyacho wao inakua bonge la story. Hata wakijamba mtakuja hapa kujadili. Hizo ndo dalili za mtu aliyefanikiwa. Hata ukifanya upuuzi unajadiliwa.

Fiesta mashabiki wamemzomea Diamond ma-hater kibao wamekuja hapa kuwalalamikia na kuwatukana clouds kama ndo wamepanga dili lote. Juzi kwenye tamasha la Tigo kwa kushirikiana na IPP, DIAMOND huyohuyo kazomewa pale Leaders wala hamjaja hapa kutoa mapovu kuwalaumu EATV kama mlivyofanya kwa Clouds fm... inamaanisha wanafanya vizuri ndio maana ma-haters wachache mnalazimishaga watu tuamini kuwa wanakosea kweli kumbe kelele tu za kipuuzi...

HII NCHI IMEJAA WACHAWI WENGI SANA, KIBAYA ZAIDI WENGI WAO NI VIJANA.
Huu ukweli unatakiwa uwe copied kwa Amalinze na ndio maana kabla nilishamwambia inaelekea sio mfuatiliaji wa mambo! Na kwa nyongeza tu hilo suala la Jide kuliwa mzigo na Ruge, kwa hasira zake akaamua kuwatungia wimbo gazeti la Ijumaa eti kwamba ni wambeya wanamfuatafuata!!!
 
Last edited by a moderator:
Wanapeana kazi kwa kujuana,nina mashaka na elimu za watangazaji wake Nendeni Udsm,Udom na vyuo vingine kuna watu wanagraduate wenye degree za journalism acheni uzembe wa kuajili vilaza na wapenda rushwa wataiua clouds.

Wananikera sauti zao hasahasa hicho kipindi, wanajifanya sauti za kidhungu
 
Back
Top Bottom