Clouds FM acheni Utoto

Clouds FM acheni Utoto

Sangara usifanye hivyo,wewe km una access nao tuma maoni kwanza ili kuwashauri,kwa kufanya hivyo utakuwa umewasaidia sana,badala ya kuwatema moja kwa moja.

nshamalizana nao hawa, wajinga sana, hii sio mara ya kwanza, siwapi audience yangu.
 
Ulishawahi sikia clouds wakipiga ngoma za rama dee ukweli most of the clouds presenters ni makanjanja
 
Siku zote mtu kwenye jamii akikosana na mtu zaidi ya mmoja lazima ana matatizo
 
Ckujua kama clouds fm wanawez kua wapuuzi kiasi hiki,,,,hata hvyo haiwasaidii kitu zaidi ya kushusha hadhi yao tu,,,
 
What I like about watu wa JF kila siku utawasikia mnapata wapi muda wa kuisikiliza hii radio... wengine utasikia sijawahi kabisa kuiskiliza hii radio lakini cha ajabu, mara kwa mara habari za Clouds na watangazaji wake haziishi... mnazipata wapi hizi habari ikiwa hamsikilizi? By the way, if you've no interest, yanini kukimbilia kuchangia habari za kituo msichokiziliza? Acheni unafiki wenu bhana... inaelekea wengi wenu hapa kama sio wote mnasikiliza Clouds lakini kila wakati mnajifanya hamsikilizi!!!
 
Masoud Kipanya na Fina Mango hawakusepa bali walitimuliwa! Kulikuwa na siku walitakakufanya interview na Balozi wa US pale Ubalozi... sasa katika mambo ya setting, microphone hazikukaa sawa kwahiyo the whole thing turned into shit! Kutokana na hilo, Maosud na Fina waka-mind, wakaweka mgomo na wakaambiana siku ya pili wasiende kazini kama njia ya kuonesha kuchukizwa kwao na technical problem ambayo ilitokea! Nadhani Clouds wakatafsiri kwamba wamechukua uamuzi huo kv wanajiona stars... WAKAWATIMUA! Kwahiyo hawakuondoka wenyewe!!

Haya sasa, Clouds ndo hao... tuwaite majina yote tuyatakayo! What about IPP wasiotangaza habari za Yusuf Manji?

Unajua maana ya habari? Unataka manji akigawa fedha jangwani atangazwe kwenye kipindi cha michezo ITV? AKifanya kitu kizuri kinachohitaji coverage lazima ataonyeshwa ITV,mbona kipindi cha uchaguzi yanga alikuwa anaoneshwa? Clouds Media waige weledi wa ITV,kuwa na beef na mmiliki wa kituo hakizuii habari zako zisisike kwenye kituo.Inafikili kwanini watu wanaichukia TBC? Ndio mambo kama hayo ya kutofuata weledi,clouds media imeanza mbali since 80's nilitalajia wawe strong na changamoto kama hizo,sitalajii kupishana kauli na jide ndio iwe beef la kituo kizima na wafanyakazi wote.
 
Mkuu hapa tunazungumzia ueledi wa tasnia ya habari,huo mfano nimekupa kama kukupa picha nachozungumzia,msanii ana haki ya kukataa deal akiona haina maslahi kwake ni kama wewe unavyofanya interview wanakupa offer ya mshaara na ukiona haukufai unasepa pia haki hiyo iwe kwa wasanii,msanii akikataa deal la clouds basi hapo wazee wa fitina wa osata watafanya kila njia upotee kwenye game,haujiulizi kwanini msanii akitoka kundi tu la OSATA lazima apotee kama haupigi kwenye media yako,kwanini uendelee kufanya fitina kwenye media nyingine?
Deal gani unazosema wewe? Kama suala la deal ni pale Jide alipoghairi kufanya show za Fiesta lakini hili la kupiga nyimbo, ni mwenyewe ndie amepiga marufuku! Ndugu acheni unafiki hapa... yaani mtu aliyetangaza hadi hadharani kwamba hata akifa huyo Kusaga na Ruge wasitokee halafu bado mnailaumu Clouds? Mtu ametangaza hadharani hata habari za kifo chake zisitangazwe halafu bado mnawalaumu Clouds?

Haya sasa... naona umekuja na mapya! Kwamba wanamfanyia fitina kwenye media zingine... ni zipi hizo? Hivi huyu Jide ni mara ya kwanza kugombana na Media? Hakuingia studio na kuimba wimbo mzima kuliimba gazeti la Ijumaa kv tu liliripoti kwamba alipoenda SA kwa ajili ya Kolla Awards alilala room moja na Ruge??!!! By the way, let's assume hao Clouds wanamtilia fitina huyo Jide hadi kwenye radio zingine! Then do you believe kwamba whether Times, EFM, Magic or kituo chochote kinaweza kuacha kupiga nyimbo zake kwa ajili ya fitina za Clouds? Na kama wataacha, so what's the difference?
 
Unajua maana ya habari? Unataka manji akigawa fedha jangwani atangazwe kwenye kipindi cha michezo ITV? AKifanya kitu kizuri kinachohitaji coverage lazima ataonyeshwa ITV,mbona kipindi cha uchaguzi yanga alikuwa anaoneshwa? Clouds Media waige weledi wa ITV,kuwa na beef na mmiliki wa kituo hakizuii habari zako zisisike kwenye kituo.Inafikili kwanini watu wanaichukia TBC? Ndio mambo kama hayo ya kutofuata weledi,clouds media imeanza mbali since 80's nilitalajia wawe strong na changamoto kama hizo,sitalajii kupishana kauli na jide ndio iwe beef la kituo kizima na wafanyakazi wote.
NImegunduwa sio mfuatliaji wa habari wewe! Kwanza huo uchaguzi wa Yanga endapo ungefuatilia ungegundua hata Radio One hawakuwahi kutangaza habari zake hata siku moja... umemtaja Muhongo; yaani unashindwa kutofautisha kati ya habari za Muhingo na habari za Wizara ya Nishati na Madini! NI habari gani mzuri IPP media walikuwa wanazitangaza kuhusu Muhongo?
 
Sasa anaposema nyimbo zake zisipigwe ni kwamba anawaambia akina Ruge au Joe hapo? Ruge anakaa studio? Kusaga aanakaa studio? Tangu lini Ruge au Kusaga akapiga nyimbo studio? Kwanza yeye hakusema Ruge au Kusaga wasipige nyimbo zake bali alisema Clouds wasipige... sasa Clouds ni mtu au taasisi? Alitaja majina kwenye msiba... hapa alisema wazi kwamba siku Jide akifa, Joseph Kusaga na Ruge wasikanyage kwenye msiba wake na kwamba wakienda, watu wawapige mawe!

Mkuu bado haujaweza kutushawishi kuona hicho kitendo kinachofanywa si cha kitoto. Kwa sababu kama mwenyewe Jay dee alisema nyimbo zake zisipigwe ni sawa,lakini sio ndiyo et hadi u-mute sauti yake katika nyimbo ya mtu mwengine halafu ni chorus.

Wao wasipige hizo nyimbo za Jay dee ila sio kufanya kama hivyo wanavyofanya ni utoto.
 
hii ndio bora radio fm na sio radio bora
 
Mkuu bado haujaweza kutushawishi kuona hicho kitendo kinachofanywa si cha kitoto. Kwa sababu kama mwenyewe Jay dee alisema nyimbo zake zisipigwe ni sawa,lakini sio ndiyo et hadi u-mute sauti yake katika nyimbo ya mtu mwengine halafu ni chorus.

Wao wasipige hizo nyimbo za Jay dee ila sio kufanya kama hivyo wanavyofanya ni utoto.
Ndo yale yale... nyama ya kitimoto haramu lakini mchuzi wake sawa tu!!
 
Ni kwamba mmesahau Jay Dee alipotangaza hadharani kwamba Clouds wasipige nyimbo zake na hata akifa wasiende, au? Anyway, Alikufa kwa Ngoma ni wimbo wa FA lakini Jide nae kashirikishwa, kuna sauti yake humo! Sasa ikiwa mtu ametangaza hadharani kwamba hata akifa hao Clouds wasiende, mnawalaumu vipi ku-mute sehemu ambazo yeye ameingiza sauti? Mbaya zaidi, Jide mwenyewe ana bifu hata na huyo Mwana-FA mwenye huo wenyewe!

Tukija la Majani... huyu si ndo yule alitangaza hadharani kwamba Clouds ndo wanahusika na vifo vya wasanii? Yaani watu na upumbavu wao wanakula unga huko, wanasingizia wanakula unga kwa ajili ya stress wanazopewa na Clouds, kama si upumbavu tuite nini?? Matokeo yake siku moja, kuna msanii wa zamani wa Majani alienda Clouds, nadhani alikuwa Jay Mo kama sikosei! Kati kati ya mahojiano, yule msanii akawa anamrusha Majani na mwenyewe akasema Majani amemuomba atakapofika studio amrushe... sasa ikiwa mnahitaji service za watu, jeuri za nini??!!!

mmhh ishu ya Jide uko sawa.majan aombwe kurushwa na jay mo???sio kweli,majan na clouds walishamaliza bif Kwan wangekua bado na bifu nyimbo alizotengeneza majan zisingepigwa clouds coz ngoma nyingi majan ndo mwenye copyright.nlisikiliza kipind majan alimuuliza tu j mo k2 gan anaenda kuzungumZia.na si kurushwa kama usemavyo.albam nying wanazo review clouds katengeneza p asa anaombwaje kurushwa?
 
Trust me... nilisikiliza kile kipindi mwanzo hadi mwisho... kwanza nilishituka kidogo niliposikia Jay Mo akimtaja taja Majani ... na Jay Mo mwenyewe kwa kauli yake akatamka hayo maneno! Lakini hata hivyo, inawezekana upo sahihi kwamba bifu lao lilishaisha ndio maana Majani hakuona taabu kumwambia Jay Mo amrushe... hilo la kwisha bifu lao nilikuwa sifahamu!
 
NImegunduwa sio mfuatliaji wa habari wewe! Kwanza huo uchaguzi wa Yanga endapo ungefuatilia ungegundua hata Radio One hawakuwahi kutangaza habari zake hata siku moja... umemtaja Muhongo; yaani unashindwa kutofautisha kati ya habari za Muhingo na habari za Wizara ya Nishati na Madini! NI habari gani mzuri IPP media walikuwa wanazitangaza kuhusu Muhongo?

Ungekuwa mfatiliaji ungejua,ITV hana kinyongo cha kutoonyesha habari za watu wenye beef na mengi,nakumbuka ITV washawahi kumuonyesha manji akivuta sigara pembeni kapaki vogue yake nyeusi wakati akiwa mahakani.

Inayoongea ni wizara au Mohongo? Hata kama inaongea wizara wangekuwa wanasema Waziri wa Nishati na madini amesign labda mkataba na kampuni ya gesi na bila kumtaja jina na wala kutoonyesha picha wangekuwa wanaonyesha jengo tu la ofisi za wizara lakini wanataja hadi jina na picha zake full" pia wangeweza kutoonyesha kabisa hata hiyo taarifa ya wizara.
 
Ndio maana nikasema utakuwa sio mfuatiliaji wa habari! Sasa kwa taarifa yako, habari za Manji zimeacha kutangazwa tangu 2011 na habari za mwisho mwisho ndo hizo za mahakamani pale Manji alipokuwa amempeleka Mzee Mengi Mahakamani!

Hilo la Muhongo, walikuwa wanatangaza habari za serikali na wizara yake na sio Muhongo per se!

Hata hivyo, watu kama nyinyi siwezi kuwashangaa manake juzi juzi tu hapa kulitokea member mwingine simkumbuki id yake... yeye nae aliwalaumu Clouds kwa kujifanya kutangaza habari za msiba wa Mez B wakati nyimbo zake hawapigi... watu tukajiuliza, hivi hizo nyimbo za Mez B zisizopigwa na Clouds ni nyimbo zipi!!!!!!
 
Ushamba uliopitiliza
Alafu bosi wako akikosana na mtu hadi wote mmfuate utumwa huo....

Jembe FM ya mwanza kiboko yao
 
Wasingepiga kabisa hata nyimbo ambazo Jay dee yumo hakuna ambaye angekuja kulalamika.
Waendesha kipindi ndio wenye wajibu wa kuchagua wimbo upi upigwe na upi usipigwe na ule utakaopigwa, upigwe vipi! Tena Clouds walishaweka wazi hili siku moja nashangaa bado watu kelele ni zile zile! katika kuonesha wao ndio wanapanga ni wimbo upi upigwe na upi usipigwe, kuna siku moja the whole day long hawakupiga wimbo hata mmoja wa Bongo Flavor!
 
Ushamba uliopitiliza
Alafu bosi wako akikosana na mtu hadi wote mmfuate utumwa huo....

Jembe FM ya mwanza kiboko yao
Unaijua historia ya huu mgogoro au unaongea tu? Una uhakika kisa cha kutopiga ni kv tu Jide aligombana na bosi wa Clouds?
 
Back
Top Bottom