Clouds FM acheni Utoto

Clouds FM acheni Utoto

Mkuu naona wewe ni miongoni mwa shareholders wa hapo mawingu. Lakini utambue hao jamaa wanawanyonya sana wasanii. Tazama jasho wanalotoa kwenye shows zinazoratibiwa na hio media na ujira wanaoupata.

Unasema tht wana music mzuri is that all about:what: Tunahitaji mafanikio beyond mkuu.!!

Show ngapi wanazoandaa tofauti na Fiesta na after skul bash? Kwahiyo hizo show 2 ndo ulitegemea ziwatajirishe wasanii?
 
Show ngapi wanazoandaa tofauti na Fiesta na after skul bash? Kwahiyo hizo show 2 ndo ulitegemea ziwatajirishe wasanii?

Rudia kusoma post yangu nimesema zinazoratibiwa na akina nani? Ina maana zipo nyingine nje ya box
 
Mkuu naona wewe ni miongoni mwa shareholders wa hapo mawingu. Lakini utambue hao jamaa wanawanyonya sana wasanii. Tazama jasho wanalotoa kwenye shows zinazoratibiwa na hio media na ujira wanaoupata.

Unasema tht wana music mzuri is that all about:what: Tunahitaji mafanikio beyond mkuu.!!
Mkuu Window7 unawakilisha taswira halisi ya Mtanzania... Mtanzania aki-fail, anatafuta mchawi na labda hapa ndipo tunatofautiana mimi na wewe au na wengi! I had never relate any of my failure to anyone else! Hata pale ambapo niliwahi kukaa miaka kadhaa bila kazi, ckuwahi kumlaumu yeyote na mara zote nilijimbia sija-struggle vya kutosha!

Umezungumzia habari za show... hata kanuni za kawaida za uchumi hazishawishi kuamini kwamba show zinazobeba wasanii wengi kama Fiesta utarajie kila msanii ataondoka na millions of t shillings! Wapo wabeba show watakaolipwa vizuri na wapo wasindikizaji ambao watalipwa kidogo... haya mambo ni inevitable! Usitarajie NMB yenye ma-Teller takribani 500 Tanzania mzima halafu iwalipe mshahara sawa na ma-Teller wa Stanbic wasiofika hata 50 Tanzania mzima... haya mambo mengine ni simple economic principles! Na ndio maana there's no way Mwalimu atakuja kupata mshahara mkubwa wakati wao peke yao wanafika zaidi ya 50% ya wafanyakazi wote wa serikali! Ni ukweli unaochukiza lakini inabidi uumeze tu hivyo hivyo!

Pamoja na yote hayo, nilichokupa ni general view lakini nikitaka ku-concentrate in case to case basis, ningeanza kukuuliza ikiwa unafahamu hao wanamuziki wanalipwa kiasi gani! Ukweli usio na shaka ni kwamba, wasanii wengi huwa wanasubiria kwa hamu msimu wa Fiesta kwa kuwa unawalipa! Tatizo linakuja kwa wale ambao wanataka kulinganisha malipo yanayofanywa kwa show ya wasanii watatu na show inayofanywa na lundo la wasanii! Wengine ni wale wasiotaka kukubali ukweli kwamba, haya mambo is not all about nani mkongwe kwenye game bali una nini kwenye soko! Msanii ambae ana-hit sokoni ndie atakuwa leading artist kwenye show za namna hii na huyo atalipwa nyingi kuliko wewe unayejiona mkongwe wakati hauna jipya sokoni! There's no way Juma Nature umlipe nyingi kuliko Diamond eti tu kwa sababu Nature ni mkongwe wakati hana jipya sokoni! Huu nao ni ukweli mchungu,lakini jitahidi tu kuumeza hivyo hivyo coz' that's how rule of the thumb suggest!

Umetaja THT na muziki mzuri... mie sijasema hilo lakini inaelekea unatambua uzuri wa muziki wa THT guys! Hayo mafanikio beyond ni siri yao... si mimi wala wewe utakaeweza kufahamu coz' si kila mtu anapenda kuonesha anamiliki nini!

Niishie tu kusema kwamba sina manufaa yoyote Clouds and more interesting, I know no one kwenye ile media house! Lakini hili halinizuii kusema ukweli ninaouamini coz' kwa silika yangu, huwa ni mwenye kukisimamia ninachokiamini na katu sisukumwi na wengi wanaongea au wanataka kusikia nini!

Wasalaam!
 
Back
Top Bottom