Manchris Jbisd
SPAMMER
- Apr 9, 2013
- 691
- 495
Na mkitokea kwenye msiba, mpigwe mawe!
Yah...
Na mkitokea kwenye msiba, mpigwe mawe!
Hivi hii redio bado ina wasikilizaji?
Sasa anaposema nyimbo zake zisipigwe ni kwamba anawaambia akina Ruge au Joe hapo? Ruge anakaa studio? Kusaga aanakaa studio? Tangu lini Ruge au Kusaga akapiga nyimbo studio? Kwanza yeye hakusema Ruge au Kusaga wasipige nyimbo zake bali alisema Clouds wasipige... sasa Clouds ni mtu au taasisi? Alitaja majina kwenye msiba... hapa alisema wazi kwamba siku Jide akifa, Joseph Kusaga na Ruge wasikanyage kwenye msiba wake na kwamba wakienda, watu wawapige mawe!
Wanapeana kazi kwa kujuana,nina mashaka na elimu za watangazaji wake Nendeni Udsm,Udom na vyuo vingine kuna watu wanagraduate wenye degree za journalism acheni uzembe wa kuajili vilaza na wapenda rushwa wataiua clouds.
Kama wamefanya hivyo, kuanzia leo nyumbani kwangu clouds tv na radio mwiko. shenzi kabisa.
Ni takataka fulani hivi ya makeleleHivi clouds fm ni kitu gani hicho!?
Ni kwamba mmesahau Jay Dee alipotangaza hadharani kwamba Clouds wasipige nyimbo zake na hata akifa wasiende, au? Anyway, Alikufa kwa Ngoma ni wimbo wa FA lakini Jide nae kashirikishwa, kuna sauti yake humo! Sasa ikiwa mtu ametangaza hadharani kwamba hata akifa hao Clouds wasiende, mnawalaumu vipi ku-mute sehemu ambazo yeye ameingiza sauti? Mbaya zaidi, Jide mwenyewe ana bifu hata na huyo Mwana-FA mwenye huo wenyewe!
Tukija la Majani... huyu si ndo yule alitangaza hadharani kwamba Clouds ndo wanahusika na vifo vya wasanii? Yaani watu na upumbavu wao wanakula unga huko, wanasingizia wanakula unga kwa ajili ya stress wanazopewa na Clouds, kama si upumbavu tuite nini?? Matokeo yake siku moja, kuna msanii wa zamani wa Majani alienda Clouds, nadhani alikuwa Jay Mo kama sikosei! Kati kati ya mahojiano, yule msanii akawa anamrusha Majani na mwenyewe akasema Majani amemuomba atakapofika studio amrushe... sasa ikiwa mnahitaji service za watu, jeuri za nini??!!!
clouds fm, tv ni watoto na ni wadogo sana hawana lolote ni washamba kaibisa huwezi media nzima kama hiyo kuwa na bifu na mtu kwanini lakini huo ni upuuzi kabisa kuanzia kiongozi wao hadi wafanyakazi hawana cha kiutu uzima ni utoto unawasambua
Are purely serious? Hivi kweli unaweza kufananisha bifu la Clouds na Jide na suala la serikali na wananchi wake? Serikali inawajibika kwa wananchi kv imewekwa madarakani na wananchi what about Jide na Clouds? By the way, unatarajia watangazaji wamataje Jide wakati mwenyewe Jide ndo kapiga marufuku? Kama ulifuatilia lile bifu, hadi wakati Jide anapaka mbovu, bado nyimbo zake zilikuwa zinapigwa na zikaacha kupigwa pale alipoandika kwenye blog yake kwamba nyimbo zake zisipigwe na hata akifa Ruge na Kusaga wasiende kwenye msiba wake na wakienda wapigwe mawe! Aidha, akaweka jambo moja bayana coz' watu wengi walikuwa wanamlalamikia Ruge... kwenye ujumbe wake ule Jide akaweka wazi kwamba ingawaje watu wanamsema Ruge lakini huyo Joseph Kusaga ndo roho mbaya kuliko Ruge... na mwishowe akamalizia kwamba hatakuja kubadilisha kauli yake... yaani pamoja na yote hayo bado mnailaumu Clouds?Mkuu nadhani haukunielewa,Mtoto akijisaidia kwenye kiganja hautakiwi kukata mkono,serikali kila siku inatukanwa na wananchi lakini still serikali hiyo hiyo inawaletea umeme wanacnhi,inawaletea madawa etc,Clouds Media kuweka beef na Jide ni utoto,Mengi alikuwa na mvutano na Muhongo lakini kwenye taarifa za habari tulikuwa tunamuona muhongo vizuri tu.Tatizo la hapa ni taasisi nzima hadi wafanyakazi hawatakiwi hata kutaja neno la Lady jay Dee wakiwa hewani mpaka waombe ruhusa kwa ruge,hapo ni kuonyesha ukanjanja wa Clouds Media.Kama amekataa nyimbo zake zisipigwe basi hata jina kutaja nayo ni wimbo? Waache utoto wamalize tofauti zao,mbona sugu/vinega walimalizana nao?
mchangiaji aliyesema ni makanjanja hajakosea, niwarudishe nyuma kidogo mwishoni mwishon mwa 90 na mwanzoni mwa 2000 clouds ilihit sana. Mnajua kwa nn?
Watangazaji waliokuwa nao vipaji, achilia mbali shile, wanatalent, kipanya, fina nikitaja wachache tu.
Wewe kama ni mfwatiliaji mzur jiulize kwa nn walisepa.
Nakumbuka Hando alikaribishwa vzr powerbreakfast, alikuwa hata kutembea na kuongea hajui, fina alisimamia kampuni yake ya one plus na masudi na biashara zake.
Kiukweli tangu hapo, clouds na mm mbalimbali, kwa msiojua taste ya watangazaji, sio kw kusomea, hapana vipaji, hawatajua huu mjadala.
kwa mtangazaj au kampuni yenye haiba safi, huwez kuach kucheza wimbo alioshirikishw mtu mliena biff nae. au kusrach voko la kisa mnabiff, kampuni inajali, company status, na credibility lkn katika swala hili, basi utakera wasikilizaji kw ukanjanja na ujinga wako.
masoud kwangu hajapata mpinzani
Wanatangaza amani huku wameficha mapanga.
Masoud Kipanya na Fina Mango hawakusepa bali walitimuliwa! Kulikuwa na siku walitakakufanya interview na Balozi wa US pale Ubalozi... sasa katika mambo ya setting, microphone hazikukaa sawa kwahiyo the whole thing turned into shit! Kutokana na hilo, Maosud na Fina waka-mind, wakaweka mgomo na wakaambiana siku ya pili wasiende kazini kama njia ya kuonesha kuchukizwa kwao na technical problem ambayo ilitokea! Nadhani Clouds wakatafsiri kwamba wamechukua uamuzi huo kv wanajiona stars... WAKAWATIMUA! Kwahiyo hawakuondoka wenyewe!!mchangiaji aliyesema ni makanjanja hajakosea, niwarudishe nyuma kidogo mwishoni mwishon mwa 90 na mwanzoni mwa 2000 clouds ilihit sana. Mnajua kwa nn?
Watangazaji waliokuwa nao vipaji, achilia mbali shile, wanatalent, kipanya, fina nikitaja wachache tu.
Wewe kama ni mfwatiliaji mzur jiulize kwa nn walisepa.
Nakumbuka Hando alikaribishwa vzr powerbreakfast, alikuwa hata kutembea na kuongea hajui, fina alisimamia kampuni yake ya one plus na masudi na biashara zake.
Kiukweli tangu hapo, clouds na mm mbalimbali, kwa msiojua taste ya watangazaji, sio kw kusomea, hapana vipaji, hawatajua huu mjadala.
kwa mtangazaj au kampuni yenye haiba safi, huwez kuach kucheza wimbo alioshirikishw mtu mliena biff nae. au kusrach voko la kisa mnabiff, kampuni inajali, company status, na credibility lkn katika swala hili, basi utakera wasikilizaji kw ukanjanja na ujinga wako.
masoud kwangu hajapata mpinzani
Are purely serious? Hivi kweli unaweza kufananisha bifu la Clouds na Jide na suala la serikali na wananchi wake? Serikali inawajibika kwa wananchi kv imewekwa madarakani na wananchi what about Jide na Clouds? By the way, unatarajia watangazaji wamataje Jide wakati mwenyewe Jide ndo kapiga marufuku? Kama ulifuatilia lile bifu, hadi wakati Jide anapaka mbovu, bado nyimbo zake zilikuwa zinapigwa na zikaacha kupigwa pale alipoandika kwenye blog yake kwamba nyimbo zake zisipigwe na hata akifa Ruge na Kusaga wasiende kwenye msiba wake na wakienda wapigwe mawe! Aidha, akaweka jambo moja bayana coz' watu wengi walikuwa wanamlalamikia Ruge... kwenye ujumbe wake ule Jide akaweka wazi kwamba ingawaje watu wanamsema Ruge lakini huyo Joseph Kusaga ndo roho mbaya kuliko Ruge... na mwishowe akamalizia kwamba hatakuja kubadilisha kauli yake... yaani pamoja na yote hayo bado mnailaumu Clouds?
Anyway, Clouds wana mapungufu yao coz' ile ni taaisisi inayoongozwa na watu na wala sio malaika lakini shutuma zingine dhidi yao wala hazina msingi! Watu wanajitundika wenyewe drags, zikiwatoa uhai, oh Clouds... let's be fair bhana!!
Umezungumzia suala la Muhongo na IPP... Je, umeshawahi kuona vyombo vya IPP vinatangaza issue binafsi za Muhongo kama sio tu za kumchafua? Kama unadhani IPP ni good boys kiasi hicho, nenda pale newsroom peleka habari mzuri za Yusuf Manj kisha subiria uone kama zitatangazwa! Sasa ikiwa hata hao IPP mnaodhani ni malaika nao hawatangazi habari za watu kama akina Manji, mnashangaa Clouds na Jide??
Ni mwenyewe Jide ndie alitoa marufuku ya Clouds kupiga nyimbo zake na kutangaza hata akifa Kusaga na Ruge wasiende kwenye msiba wake na wakienda wapigwe mawe! Sasa kama wimbo una sauti ya mtu aliyetangaza hadharani, unatarajia Clouds wafanye nini?Kwahili halina ubishi na bifu ni za kiseng seng tu yani wao wasipo mtangaza mtu wanaona wanamkomoa atapotea kwenye game P funk anawachana sana jay dee ndio balaa yani ni ibaguzi tu sijui huo upendo unasambazwa vp