Clouds FM acheni Utoto

Clouds FM acheni Utoto

Ukishirikishwa kwenye wimbo mwenye mali sio Jide bali yule mwenye wimbo hivyo kukata vipande vya Jide kwenye wimbo amba ameshirikishwa au ametajwa sio kumkomesha JD bali wengine kabisa, just imagine mpaka msikilizaji akihojiwa akionekana kumtaja JDkama ndio star wake unaona wanapeleka faster na kuhamisha agenda, kama taasisi kuna maeneo wanatakiwa waache kama yalivyo na kuacha ile hali tuliyonao sie mfano mie nikiwa na bifu na wewe. Kwenye kutokupiga nyimbo za JD wapo sahihi kabisa naungana mkono na wewe kabisa ila hayo mambo mengine ya kukata vipande vyake kwenye maeneo abayo aeshirikishwa ni kuwaumiza waliomshirikisha
Hapa hakuna anayekomeshwa bali wanafuata amri ya mhusika! Hapa nimeuliza mara kadhaa, hivi ni wasanii wangapi wamewahi kufuta mistari ya msanii mwenzo baada ya kuingia nae kwenye bifu? Huyu Jide na Mwana-FA wana bifu vile vile, so what if ikiwa hata Mwana-FA nae hajiskii furahaa kusikia sauti ya Jide kwenye nyimbo zake? That's one but more important, nyie watu msijitoe ufahamu... msijifanye hamkuyasikia yale matusi ya Jide... sasa pale option ni moja tu, ama usipige kabisa nyimbo ambazo zina sauti ya Jide au u-mute sehemu alizoimba yeye! Kimsingi, haiingii akilini kutpiga nyimbo za msanii mwingine kwa sababu tu kuna sauti ya Jide... hiyo itakuwa kutowatendea haki hao wasanii! Lakini uki-opt kutopiga vipande vyaa Jide, jambo la kutopiga wimbo mwanzo hadi ni mwisho ni la kawaida sana studio... mara nyingi tu kila leo nyimbo zimekuwa zikipigwa verse moja na kuhamia kwenye wimbo mwingine... ni kawaida sana sehemu za wimbo kuwa muted kwa sababu yoyote ile kv matumizi ya lugha isiyofaa n.k kwahiyo suala la ku-mute kipande cha wimbo ni cha kawaida.... msikuze mambo! Ingekuwa mnampenda sana Jide mngekuwa mnamshauri aache jeuri lakini wakat ule ndo kwanza anatamba huku mashabiki wake wakimpa kichwa kwamba anaanzisha radio yake... alisahau, na mashabiki wake walisahau kwamba kuanzisha radio station ni kitu kimoja na kuifanya iwe ni station inayobamba ni jambo lingine! Ni miaka miwili sasa... Millardo Ayo ambae wala hatukuwahi kumsikia anapiga kelele ndo tunamuona anafungua studio!
 
Hakuna media yenye mizengwe kama hii hapa nchini.....

Waache mambo ya kihuni kwenye Professional businesses...

Hivi nani huwa anaisikiliza...? ?

kipindi cha Lisaa (59 Minutes) kuna matangazo dakika 22 (22 minutes):juggle::juggle::juggle::juggle:
Mtu huisikilizi, ulijuaje kwamba ndani ya dakika 59 kuna matangazo dakika 22? By the way, hivi unafahamu kwamba hapo ndo unaonesha ni namna gani Clouds walivyo juu? Hivi una habari kwamba biashara ya radio ni matangazo? Hivi una habari kwamba dalili ya radio station kukubalika ni kuwa na matangazo mengi?
 
Ila haya ni mabifu ya kiutu uzima tofauti na hayo mengine yapo open sana kiasi kwamba kuyagundua inakuwa kazi kidogo, mie sio mzoefu sana wa kusikiliza radio ila kwa uzi huu ukiangalia comment utagundua kuna ambao wanawachukia kweli clouds bila sababu, kuna wanaowapenda clouds hata kama wamekosea wao wanaona kama wanaonewa alafu kuna kundi lingine wao wanaeleza maoni yao kutoka moyoni kabisa bila ushabiki. Kutopiga nyimbo wapo sahihi tatizo approach wanayotumia ku-deal na JD kidogo ina kushikeri ndio maana kuna watu wanaoiangalia kama taasisi kuna sehemu inatakiwa warekebishe. Wapo sahihi kutopiga nyimbo za JD kwa kuwa msanii ana mgogoro nao tayari na alitaka iwe hivyo lakini pia kupiga wimbo ambao ameshirikishwa JD na kukata kwa makusudi vipande vyake pale hawamtendei haki mwenye wimbo pia hawamkomeshi Jide zaidi ya kuwaumiza wasikilizaji (tatizo wasikilizaji wapo wa aina mbili kuna ambao msimamo wowote wa kituo utakaoonyeshwa wao wapo tayari kuufuata na hawa ndio watafurahia hii hali lakini wale wanaoipenda clouds kwa mazuri yake ikitokea kuna mapungufu wataumia)
Hili la kwamba ku-mute ni kutowatendea haki wasanii wengine nimelizungumzia mara kadhaa! Kwa jeuri na matusi ambayo aliyatoa JD ni ngumu kwa kituo chochote kuruhusu sauti yake iwe kwenye wimbo wote au alioshirikishwa! Sina hakika ikiwa ulifuatilia lile bifu lakini kama hukufuatilia, siwezi kukulaumu! Hao wengine unaowasikia wanaleta hoja zao tena kwa matusi ni wale ambao kwa asili ni aina ya watu wanaojawa inda wakiona wengine wanafanikiwa na wengi wao ni wale ambao wanachanganya siasa na burudani! Kama sio msikilizaji mzuri wa radio labda nikujuze ndani ya Clouds kuna Ephraim Kibonde! Huyu Kibonde ni mtu ambae kinachopita kichwani mwake anakiachia kama kilivyo! Aidha yupo Hando, huyu nae huwa haogopi kusema ukweli! Sasa basi, kwa bahati mbaya kauli za Hando na Kibonde zimekuwa mara kwa mara zikiwakera wafuasi wa chama kimoja wapo nchini! Silika ya watu hawa, ili mradi umeingia maslahi ya chama chako watakuchukia tu...! Miezi ya karibuni hao watu walishaanzisha kampeni eti ya kususia kazi za baadhi ya wasanii kv tu wamejiunga kwenye chama asimu wao! Sie wengine tunaona huu ni ujinga... huwezi kuleta mambo ya siasa kwenye platforms zingine! Ni ujinga kuichukia Clouds eti kv tu baadhi ya presenters wake wamekuwa wakiongea mambo yasiyofaa dhidi ya chama chao... HUU NI USHAMBA!

Nikirudi why huwezi kuiachia sauti ya Jide kwenye wimbo usio wake! Hapo option ni moja tu... ama usipige kabisa wimbo wowote ambao Jide ameingiza sauti yake au u-mute vipande vya Jide! Kutopiga kabisa ni kutowatendea haki wenye nyimbo zao lakini uki-mute hapo hakuna jipya coz' studio suala la ku-mute au kukata kipande cha wimbo, video or even a film ni jambo la kawaida sana... suala la ku-mute vipande vya Jide sio la kwanza na wala halitakuwa la mwisho... na Clouds sio ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho! Zipo sababu mbali mbali za ku-mute kipande cha wimbo au hata kukiondoa kabisa... Clouds hapa wanatumia moja ya hizo sababu na wala hakuna jipya hapo ingawaje watu wanakuza mambo!
 
Mtu huisikilizi, ulijuaje kwamba ndani ya dakika 59 kuna matangazo dakika 22? By the way, hivi unafahamu kwamba hapo ndo unaonesha ni namna gani Clouds walivyo juu? Hivi una habari kwamba biashara ya radio ni matangazo? Hivi una habari kwamba dalili ya radio station kukubalika ni kuwa na matangazo mengi?

Nilikuwa ninaisikiliza ila sasa hivi nasikiliza MEDIA ZENYE KUJUA KAZI YAO... Ulidhani nikiongelea nisichokijua...???
Tatizo ni ulimbukeni Radio One au Capital wangekuwa wanafanya hivi muda gani wangetoa info za muhimu... Afu matangazo ya kiseng*seng* tu.....
 
Kwahiyo unakaa kusikiliza XXL halafu unatarajia kusikia habari, au? Hayo matangazo ya kiseng'eseng'e kama yapi?
 
Nilikuwa ninaisikiliza ila sasa hivi nasikiliza MEDIA ZENYE KUJUA KAZI YAO... Ulidhani nikiongelea nisichokijua...???
Tatizo ni ulimbukeni Radio One au Capital wangekuwa wanafanya hivi muda gani wangetoa info za muhimu... Afu matangazo ya kiseng*seng* tu.....

Kwikwikwi nyie wachaga punguzeni ukabila kwenye kila jambo. Jaman hamtaki watu washindane na Mengi? Hili soko huria bana tuondoleeni uhalo wenu hapa. Endelea kusikiliza Radio One yenye kipindi cha Habari za Vifo saa 16 alasiri... teteteh

Msipochanganyikiwa mwaka huu basi tu make naona na Bakhresa kaja speed anampumulia kisogo mungumtu wenu.

Wasipokua na matangazo we ndo utaenda kulipa mishahara ya wafanyakazi?? Mijitu mingine sijui huwa ikoje, wadhamini wa vipindi wakikata utaiona inakuja kulalama hapa ooh Mawingu wamefulia, wakiwa na wadhamini kama sasahivi hii misukule utaiona inakuja kulalama ooh matangazo yanakela.

Hivi mna ugonjwa gani? Make kinachosikitisha wengi ma-haters ni walewale misukule wa chama fulani cha siasa. Wao kila kitu kibaya, nila kitu kuponda na kutukana ilhali wakitetea kila uhalo ufanywao na mabwana zao.

Nahisi mna matatizo ya kisaikolojia sio bure.
 
Umepanic wewe...
Wachaga wako wapi kwenye hyo statement....

Kama anafanya mambo mazuri ni mazuri tu... Hata akiwa MUHA:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:

Wasipokua na matangazo we ndo utaenda kulipa mishahara ya wafanyakazi?? Mijitu mingine sijui huwa ikoje, wadhamini wa vipindi wakikata utaiona inakuja kulalama hapa ooh Mawingu wamefulia, wakiwa na wadhamini kama sasahivi hii misukule utaiona inakuja kulalama ooh matangazo yanakela.

Hivi mna ugonjwa gani? Make kinachosikitisha wengi ma-haters ni walewale misukule wa chama fulani cha siasa. Wao kila kitu kibaya, nila kitu kuponda na kutukana ilhali wakitetea kila uhalo ufanywao na mabwana zao.

Nahisi mna matatizo ya kisaikolojia sio bure.
Hahahha...

Mazuzu wengine ..
Usinchoshe ... Ngoja niende kulala kwanza..!
 
Hili la kwamba ku-mute ni kutowatendea haki wasanii wengine nimelizungumzia mara kadhaa! Kwa jeuri na matusi ambayo aliyatoa JD ni ngumu kwa kituo chochote kuruhusu sauti yake iwe kwenye wimbo wote au alioshirikishwa! Sina hakika ikiwa ulifuatilia lile bifu lakini kama hukufuatilia, siwezi kukulaumu! Hao wengine unaowasikia wanaleta hoja zao tena kwa matusi ni wale ambao kwa asili ni aina ya watu wanaojawa inda wakiona wengine wanafanikiwa na wengi wao ni wale ambao wanachanganya siasa na burudani! Kama sio msikilizaji mzuri wa radio labda nikujuze ndani ya Clouds kuna Ephraim Kibonde! Huyu Kibonde ni mtu ambae kinachopita kichwani mwake anakiachia kama kilivyo! Aidha yupo Hando, huyu nae huwa haogopi kusema ukweli! Sasa basi, kwa bahati mbaya kauli za Hando na Kibonde zimekuwa mara kwa mara zikiwakera wafuasi wa chama kimoja wapo nchini! Silika ya watu hawa, ili mradi umeingia maslahi ya chama chako watakuchukia tu...! Miezi ya karibuni hao watu walishaanzisha kampeni eti ya kususia kazi za baadhi ya wasanii kv tu wamejiunga kwenye chama asimu wao! Sie wengine tunaona huu ni ujinga... huwezi kuleta mambo ya siasa kwenye platforms zingine! Ni ujinga kuichukia Clouds eti kv tu baadhi ya presenters wake wamekuwa wakiongea mambo yasiyofaa dhidi ya chama chao... HUU NI USHAMBA!

Nikirudi why huwezi kuiachia sauti ya Jide kwenye wimbo usio wake! Hapo option ni moja tu... ama usipige kabisa wimbo wowote ambao Jide ameingiza sauti yake au u-mute vipande vya Jide! Kutopiga kabisa ni kutowatendea haki wenye nyimbo zao lakini uki-mute hapo hakuna jipya coz' studio suala la ku-mute au kukata kipande cha wimbo, video or even a film ni jambo la kawaida sana... suala la ku-mute vipande vya Jide sio la kwanza na wala halitakuwa la mwisho... na Clouds sio ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho! Zipo sababu mbali mbali za ku-mute kipande cha wimbo au hata kukiondoa kabisa... Clouds hapa wanatumia moja ya hizo sababu na wala hakuna jipya hapo ingawaje watu wanakuza mambo!

Mkuu NasDaz mimi sina cha kuongeza lakini sikutegemea kuna mtu atauliza au kulaumu kwanini sauti ya jide haisikiki Cloud! umemaliza kila kitu! Mi nafiri wa Celebrity forum wanaweza shangazwa na lawama za mtoa mada!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna media yenye mizengwe kama hii hapa nchini.....

Waache mambo ya kihuni kwenye Professional businesses...

Hivi nani huwa anaisikiliza...? ?

kipindi cha Lisaa (59 Minutes) kuna matangazo dakika 22 (22 minutes):juggle::juggle::juggle::juggle:

Yani unasema kina matangazo hayo halafu unauliza nani huwa ana sikiliza? umejuaje? Matangazo ni mizengwe? Una hitaji shule juu ya umuhimu wa matangazo! Matangazo ni mishahara si mizengwe!
 
Huwezi kuacha kupiga wimbo wa mtu kwa sababu ndani yake kuna sauti ya mtu asiyetaka kazi zake zisipigwe wakati dawa ipo... MUTE! Kwanini wahukumiwe wengine? Ule wimbo watu tunasikiliza maneno ya busara, yaliyoenda darasa kutoka kwa kijana Mwanafalsafa! Sasa wewe unataka yote hayo watu wasisikilize kisa chorus ikiwa muted itaonekana utoto??????!!!!

Tatizo lako unaongea kishabiki na kutaka kuoneshana ubingwa wa kubishana,wengine hatupo huko kabisa
 
Ushabiki upo wapi? Ina maana wewe ungekuwa studio usingepiga wimbo wa msanii yeyote kv tu Jay Dee ameingiza sauti yake? Kwanini waathirike wengine kwa matatizo ya wengine? Au ungepiga tu pamoja na matusi yote yale ya Jide? Pamoja na kusema hata akifa Ruge na Kusaga wasithubutu kuja msibani na wakija wapigwe mawe? By the way, huyu Jide si ana bifu vile vile na Mwana FA mmiliki mwenye wimbo? What if ikiwa hata yeye hapendi sauti ya Jide isikike kwenye nyimbo zake hasa baada ya kumkashifu na kufikia kumuita MwanaFatuma?

Narudia...ona uonavyo... huwezi kuacha kupiga wimbo mzima kv tu kuna sauti ya Jide... haiingii akilini! Aidha, huwezi kupiga wimbo mzima including kipande cha Jide wakati kila mmoja anafahamu alitangaza hadharani tena kwa matusi na moja ya kauli yake hii hapa:
Kama mnasema mlinibeba mbona hamkuwabeba dada zenu wa tumbo moja waimbe ili hela irudi nyumbani??. kama kweli wewe Kusaga unajua kubeba basi beba jiwe liimbe liwe star..

Kwa roho zenu mbaya mnaweza kumbeba mpita njia nyie??.
Talent haibebwi, hujibeba kama mnabisha si mna watoto wabebeni basi wawe kama kina Diamond ndio nitaamini kweli nyie mnaweza kubeba watu.
Kama kweli mnampenda Jide busara ingekuwa ni kumshauri aachane na masuala ya bifu! Kila mmoja anafahamu kwamba, miongoni mwa wasanii wa kike, Jide pamoja na umri wake lakini ndie mpenda migogoro na hata majina yake yanasadifu tabia yake... mara leo Commando kesho Anaconda, sijui anajaribu ku-prove nini! Lakini kwa wenye busara wanafahamu wazi kwamba bifu zake zinam-cost sana!!
 
Ushabiki upo wapi? Ina maana wewe ungekuwa studio usingepiga wimbo wa msanii yeyote kv tu Jay Dee ameingiza sauti yake? Kwanini waathirike wengine kwa matatizo ya wengine? Au ungepiga tu pamoja na matusi yote yale ya Jide? Pamoja na kusema hata akifa Ruge na Kusaga wasithubutu kuja msibani na wakija wapigwe mawe? By the way, huyu Jide si ana bifu vile vile na Mwana FA mmiliki mwenye wimbo? What if ikiwa hata yeye hapendi sauti ya Jide isikike kwenye nyimbo zake hasa baada ya kumkashifu na kufikia kumuita MwanaFatuma?

Narudia...ona uonavyo... huwezi kuacha kupiga wimbo mzima kv tu kuna sauti ya Jide... haiingii akilini! Aidha, huwezi kupiga wimbo mzima including kipande cha Jide wakati kila mmoja anafahamu alitangaza hadharani tena kwa matusi na moja ya kauli yake hii hapa:Kama kweli mnampenda Jide busara ingekuwa ni kumshauri aachane na masuala ya bifu! Kila mmoja anafahamu kwamba, miongoni mwa wasanii wa kike, Jide pamoja na umri wake lakini ndie mpenda migogoro na hata majina yake yanasadifu tabia yake... mara leo Commando kesho Anaconda, sijui anajaribu ku-prove nini! Lakini kwa wenye busara wanafahamu wazi kwamba bifu zake zinam-cost sana!!

Mkuu mbona hauelewi? Mie sizungumzia beef lao,sipo hapa kama mshabiki wa Jay dee na wala sina chuki na clouds. Hata hivyo ni utoto kwamba uichukie clouds kwa sababu unampenda Jay dee au umchukie Jay dee kwa sababu unapenda clouds,hilo ni beef lao.

Kwahiyo naomba kwanza utambue kuwa sipo hapa kumshabikia Jay dee na wala sina chuki na clouds.

Hebu chukua mfano kama ile nyimbo ya Nay na Diamond halafu labda clouds wana beef na Diamond kama ilivyo kwa Jay dee. Au ile nyimbo ya Ali kiba na Jay dee single boy.

Hivi hizo nyimbo ukitoa sauti ya Diamond ktk nyimbo ya Nay, au utoe sauti ya Jaydee ktk nyimbo ya Ali kiba unafikiri kutakuwa na maana gani ya kupiga hizo nyimbo? Na muathirika hapo atakuwa ni nani ktk utoto wa aina hiyo?
 
Hebu chukua mfano nyimbo kama ile nyimbo Nay na Diamond halafu labda clouds wana beef na Diamond na ilivyo kwa Jay dee. Na ile nyimbo ya Ali kiba na Jay dee single boy.

Hivi hizo nyimbo ukitoa sauti ya Diamond ktk nyimbo ya Nay, na utoe sauti ya Jaydee ktk nyimbo ya Ali kiba unafikiri kutakuwa na maana gani ya kupiga hizo nyimbo? Na muathirika hapo atakuwa ni nani ktk utoto wa aina hiyo?
 
Mkuu mbona hauelewi? Mie sizungumzia beef lao,sipo hapa kama mshabiki wa Jay dee na wala sina chuki na clouds. Hata hivyo ni utoto kwamba uichukie clouds kwa sababu unampenda Jay dee au umchukie Jay dee kwa sababu unapenda clouds,hilo ni beef lao.

Kwahiyo naomba kwanza utambue kuwa sipo hapa kumshabikia Jay dee na wala sina chuki na clouds.

Hebu chukua mfano kama ile nyimbo ya Nay na Diamond halafu labda clouds wana beef na Diamond kama ilivyo kwa Jay dee. Au ile nyimbo ya Ali kiba na Jay dee single boy.

Hivi hizo nyimbo ukitoa sauti ya Diamond ktk nyimbo ya Nay, au utoe sauti ya Jaydee ktk nyimbo ya Ali kiba unafikiri kutakuwa na maana gani ya kupiga hizo nyimbo? Na muathirika hapo atakuwa ni nani ktk utoto wa aina hiyo?
Unajua huwezi kuzungumzia suala hili bila kugusia bifu la Clouds na Jide kwa kuwa ndio chanzo cha haya yote unless kama mtu atataka kuonesha upande mmoja wa tatizo... kwamba Clouds wanafanya wafanyayo bila sababu!

Tukirudi mfano wa wimbo wa Diamond vs Nay wa Mitego na ule Kiba vs Jay Dee, hii mifano haisadifu wimbo wa Alikufa kwa Ngoma hususani wimbo wa Diamond vs Nay Wa Mitego ambao sauti zao wameingiza kwa overlapping... ni kama majibizano fulani sasa katika mazingira kama hayo huwezi ku-mute coz' mashairi yameingiliana! So, ktk mazingira kama hayo, Diamond akipiga marufuku nyimbo au sauti yake isichezwe kwenye kituo chochote kile... NARUDIA ... KWENYE KITUO CHOCHOTE KILE manake haya mambo yapo kwenye stations zote! Ikitokea hali kama hiyo, Muziki Gani haitapigwa moja kwa moja kwa kuwa mashairi yameingiliana mno na hakuna option nyingine!

Ukija kwenye case ya Single Boy, Kiba vs Jide, huu wimbo hauna overlapping ya mashairi kwahiyo watakacho-opt ni kupiga verse ya kwanza na biashara itaishia hapo kv Jide amefanya verse ya pili exclusively! Na hili suala la wimbo kupigwa verse moja tu na kuhamia verse nyingine ni la kawaida sana studio hata pasipo na migogoro kama hii... kama wewe ni mtu wa disco, naamini umeona mara kadhaa hilo likifanyika pia kwahiyo hakutakuwa na jipya!!!!

Kutokana na ukweli huo, ndio maana hata hao Clouds wanashindwa kuipiga Hawajui ya Mwana FA featuring Lady Jay Dee kwavile kwenye huu wimbo sauti/mashairi yameingiliana sana sawa na wimbo wa Muziki Gani wa Nay vs Diamond na katika mazingira kama hayo kunakuwa hakuna option nyingine zaidi ya kuacha kuupiga moja kwa moja!!!

Tofauti na hayo, Amekufa kwa Ngoma, mashairi hayajaingiliana hata kidogo... sauti ya Jide inasikika kwenye chorus peke yake! Wimbo una zaidi ya dakika 4 wakati chorus zote ukichanganya, haifiki hata dakika moja! Kwahiyo huwezi kuacha kupiga 80% ya wimbo kwa ajili ya 20% iliyopo kwenye chorus pekee! Aidha, wimbo kupigwa bila chrous hata pasipo na migogoro nalo ni jambo la kawaida sana na kila wakati linafanyika na radio zote!!!

Suluhisho la haya ni moja tu... kumaliza mgogoro ingawaje wakati mgogoro unaanza, Ruge mara kadhaa alinukuliwa kama kuna tatizo wakutane waingalie tatizo lipo wapi hasa kisha wayamalize... unfortunately, Jide akakataa! Narudia, ukitaka kuwa fair, huwezi kukwepa kuelezea bifu lao!
 
Clouds hawana jipya TV yao wameshindwa kufanya ikavutia. Yaani kuna kipindi kule cha ijumaa saa 4 usiku ni cha ajabu mn . Watangazaji wao ndo hao akina Kibonde,Mbwiga
Mchomvu wote wanamuabudu Ruge. Wasipige hizo nyimbo maana Jide sio mganga njaa. Clouds chenga tupu.
 
afu mtoa uzi hujaelewa kitu. lady jay dee aliomba mwenyewe sauti yake,jina lake au nyimbo zake zisikike clouds. sasa hapo clouds wana kosa lipi.?
Mengine sijui
 
Back
Top Bottom