Clouds FM acheni Utoto

Clouds FM acheni Utoto

Hiyo hadhi wajishushie mara ngapi?hakuna kitu hapo na pole zeni kama mnaendelea kuisikiliza hiyo redio mbao~!
 
Kuna lugha za mbululazzz kuelewa humu kama autaki jitokee zako
 
1.efm 2.east Africa radio 3.radion one 4.times FM 5.wapo radio 6. Radio imani
 
Ni kwamba mmesahau Jay Dee alipotangaza hadharani kwamba Clouds wasipige nyimbo zake na hata akifa wasiende, au? Anyway, Alikufa kwa Ngoma ni wimbo wa FA lakini Jide nae kashirikishwa, kuna sauti yake humo! Sasa ikiwa mtu ametangaza hadharani kwamba hata akifa hao Clouds wasiende, mnawalaumu vipi ku-mute sehemu ambazo yeye ameingiza sauti? Mbaya zaidi, Jide mwenyewe ana bifu hata na huyo Mwana-FA mwenye huo wenyewe!

Tukija la Majani... huyu si ndo yule alitangaza hadharani kwamba Clouds ndo wanahusika na vifo vya wasanii? Yaani watu na upumbavu wao wanakula unga huko, wanasingizia wanakula unga kwa ajili ya stress wanazopewa na Clouds, kama si upumbavu tuite nini?? Matokeo yake siku moja, kuna msanii wa zamani wa Majani alienda Clouds, nadhani alikuwa Jay Mo kama sikosei! Kati kati ya mahojiano, yule msanii akawa anamrusha Majani na mwenyewe akasema Majani amemuomba atakapofika studio amrushe... sasa ikiwa mnahitaji service za watu, jeuri za nini??!!!

Siamini kama bado kuna watu wanatetea ujinga na upuuzi wa Clouds.
 
Hivi ni kweli Jide ameombwa kugombea ubunge kwa tiketi ya chama cha. Inasemekana ndiye ata kuwa Waziri wa habari naibu wake sugu. Sijui itakuwaje kuusu matangazo
 
Back
Top Bottom