They are a bunch of idiots, kama kurekodiana hakuruhusiwi kwanini audio au video clips hutumika kama ushahidi mahakamani?! na zile za bashite alipowavamia je
well said, kama video hazikubaliki mbona walisambaza za kwao za CCTV kwenye mitandao walipovamiwa na Bashite? ujinga mtupu