Clouds 360 wawapinga Nassari na Lema kumrekodi DC!

Kideo chao kile feki kimeungwa ungwa tu.
Upinzani wao kuumizana na kusubiri kuomba pesa za mtibabu watanue nazo.

Lissu atakapo pona atakuwa amewajua.. dereva wakusaidia eti mnamfichia Kenya!!.. ha haaaa kuogopa atawatumbua... hao waondoshwe huko Kenya wanaweza kumdhuru mgonjwa zaidi
Ni watu hatari kisa kiki za siasa zisizo na ubunifu kabisaaaaa.

Familia wafukuzeni hao waliomtenda..
Wapikie kwanza chai watoto ndio uje uteme hizo pumba zako vzr
 
magufuilli mwenyewe anawarekodi mawaziri waje .hao jamaa wa clouds vipi
 
Video za Uchunguzi hazina Ridhaa ya mtu endapo wangepata ridhaa ingeitwa Mchezo wa Kuigiza.

Kumrekodi bila kujielewa ndo inaleta uhalali wa CCTV Camera.
Pongezi Troll JF kwa kupata ufahamu......

Kama tukipata watu wa Lumumba kama 10 hivi wanaojielewa kama wewe, basi Taifa lingekuwa mbali sana!
 
Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya kurekodiana imevuka mizizi maana wanadai sasa hata mke na mume wanarekodiana kwa kuviziana.

Sijaelewa mambo ya mke na mme yameingiaje kwenye mjadala wa Nassari, au kuna la zaidi hapo Clouds tusilolijua?

Source kipindi cha Clouds 360!

Clouds ndio media yenye watangazaji Vilaza na wanafiq,,, na mashoga
 
Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya kurekodiana imevuka mizizi maana wanadai sasa hata mke na mume wanarekodiana kwa kuviziana.

Sijaelewa mambo ya mke na mme yameingiaje kwenye mjadala wa Nassari, au kuna la zaidi hapo Clouds tusilolijua?

Source kipindi cha Clouds 360!
Walivyorekodi uvamizi wa Clouds waliomba ridhaa????
 
Kideo chao kile feki kimeungwa ungwa tu.
Upinzani wao kuumizana na kusubiri kuomba pesa za mtibabu watanue nazo.

Lissu atakapo pona atakuwa amewajua.. dereva wakusaidia eti mnamfichia Kenya!!.. ha haaaa kuogopa atawatumbua... hao waondoshwe huko Kenya wanaweza kumdhuru mgonjwa zaidi
Ni watu hatari kisa kiki za siasa zisizo na ubunifu kabisaaaaa.

Familia wafukuzeni hao waliomtenda..
Maharage ya Lumumba haya
 
Video za Uchunguzi hazina Ridhaa ya mtu endapo wangepata ridhaa ingeitwa Mchezo wa Kuigiza.

Kumrekodi bila kujielewa ndo inaleta uhalali wa CCTV Camera.
Mkuu vipi
 
Sikuwa nasikiliza clouds na huwa napitia kumsikiliza mtu ninayemwamini, Kipanya. Wengine wengi ni akili za kushikiwa na ndio maana unajiuliza wenyewe kama media wakipiga picha hata za ndondo kapu wote wanaoonekana huwa wanatoa ridhaa kabla ya kuwapiga picha!?
Ndio maana hata (labda) ikitolewa video ya wasiojulikana wakimpiga risasi TL watasema hivi hivi!
 
Samahani Mnyeti naomba uweke tai yako vizuri wakati naset kamera, paka poda kidogo ili uonekane vizuri maana nataka nikutoe vizuri ukitoa rushwa. Akili za clouds ni kama mazombie. Mi kipanya tu ndo namkubali yule jamaa hana kona
 
Huyo kamanda Siro naye hana chochote.....

Hivi huu mtu mwenye kapero naye wa kumtafuta??

Hivi si anajulikana na kila mtu??
Kila mahali lazima kuwe na mtu wa vichekesho
 
Hao hawajui hata simu zetu na nyendo zetu kwenye mawasiliano zinarekodiwa ila kwa matendo mema unayofanya kama mtu au mamlaka ya mawasiliano ikatoa information zako hapo issue ya privacy inahusika but kama una nia ovu na mawasiliano yako kati ya mtu mmoja na mwingine yakawekwa hadharani hapo issue ya privacy haihusiki
 
Hawamlengi nassari.. wanamlenga zamaradi avomrekodi bosi wao (ruge) husomi hata direction ya upepo mkuu?
 
Kuna hiyo nyundo sijui inaitwa nani? Ila ukweli siku nikipata CV zao ndio nitaweza kuangalia hicho kipindi.Mimi nina tabia moja sina CV yako basi wewe ukiongea unakuwa wa kawaida sana kwangu na ndivyo hicho kipindi kilivyo kwangu. Jamani mwenye cv za watangazaji wa 360 clouds anisaidie. Usije kuta watu wanasikiliza kina Bashite.
 
Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya kurekodiana imevuka mizizi maana wanadai sasa hata mke na mume wanarekodiana kwa kuviziana.

Sijaelewa mambo ya mke na mme yameingiaje kwenye mjadala wa Nassari, au kuna la zaidi hapo Clouds tusilolijua?

Source kipindi cha Clouds 360!
1.Ukiwa unaongea na mtu, ukarekodi maongezi, huwezi kuwa unajirekodi wewe mwenyewe kwa kumbukumbu zako? Unakatazwa kujirekodi mwenyewe pia?

2. Unakatazwa kumrekodi mhalifu unayeongea naye ili kupata ushahidi madhubuti wa uhalifu wake?

3. Unakatazwa kumrekodi mhalifu for whistleblowing purposes?

4. Clouds nani anajadili sheria?
 
Leo hautalipwa!!. Utajuta kuamka na akili zako zote

Ha ha ha ha.. Mkuu umenifanya nicheke sana.. Na haswa hapo ulipomalizia.. Halafu imenifikirisha, hawa ni watu wanaotoka home wakilalamikia hali mbaya na utawala usioleweka, lakini wanapofika ofisin kwao (Lumumba) inabidi akili zao waziache nje..
 
Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya kurekodiana imevuka mizizi maana wanadai sasa hata mke na mume wanarekodiana kwa kuviziana.

Sijaelewa mambo ya mke na mme yameingiaje kwenye mjadala wa Nassari, au kuna la zaidi hapo Clouds tusilolijua?

Source kipindi cha Clouds 360!
yawezekana sio hiari hao hao watangazaji pengine ukute nao wamepokea maagizo kutoka juu yao.
 
Back
Top Bottom