Clouds 360 wawapinga Nassari na Lema kumrekodi DC!

Clouds 360 wawapinga Nassari na Lema kumrekodi DC!

Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya kurekodiana imevuka mizizi maana wanadai sasa hata mke na mume wanarekodiana kwa kuviziana.

Sijaelewa mambo ya mke na mme yameingiaje kwenye mjadala wa Nassari, au kuna la zaidi hapo Clouds tusilolijua?

Source kipindi cha Clouds 360!
Jinga sana hao watu,
Kwa namna hii au watu aina ya hao watangazaji hapo Studio basi Rushwa kuisha Tanzania ni NDOTO
 
Nimefunga camera kwangu, kibaka akija niizime sababu sijapata ridhaa yake?
 
Video za Uchunguzi hazina Ridhaa ya mtu endapo wangepata ridhaa ingeitwa Mchezo wa Kuigiza.

Kumrekodi bila kujielewa ndo inaleta uhalali wa CCTV Camera.
Mkuu ni wewe kweli?
 
Kideo chao kile feki kimeungwa ungwa tu.
Upinzani wao kuumizana na kusubiri kuomba pesa za mtibabu watanue nazo.

Lissu atakapo pona atakuwa amewajua.. dereva wakusaidia eti mnamfichia Kenya!!.. ha haaaa kuogopa atawatumbua... hao waondoshwe huko Kenya wanaweza kumdhuru mgonjwa zaidi
Ni watu hatari kisa kiki za siasa zisizo na ubunifu kabisaaaaa.

Familia wafukuzeni hao waliomtenda..
ww unaita feki imeungwa ungwa alierekodiwa amekubali ni kweli sema anasingizia alikua anamsaidia michango ya harusi

na mashaka sana ufikir wako
 
ww unaita feki imeungwa ungwa alierekodiwa amekubali ni kweli sema anasingizia alikua anamsaidia michango ya harusi

na mashaka sana ufikir wako

Unasemaje embu rudia kuniandikia
 
Vipi ile ya Wema na mbowe nayo tuseme ni Feki nyie chama cha matapeli mlitengeneza sio

Hata wewe ni great thinker?

Kipindi chote hicho wasingemshuru?,tumia akili zako vizuri hata kama ni ndogo

mkiwa mnachezea madole na Jery Muro ndiyo mnadanganyana huu upuuzi??

Ona hili nalo

kufa na lichama lako ccm usituchawie hapa


Lkn muhusika amekubali kuwa ni video zake akiwa ktk shughuli za kuhamasisha maendeleo,sasa wewe unaposema zimeungwa ungwa na fake,hatukuelewi!

Genye zinakusumbua wewe

Wapikie kwanza chai watoto ndio uje uteme hizo pumba zako vzr

Maharage ya Lumumba haya

KAMA WAHUSIKA WANAJULIKANA IVI KAMA WW UNAVYO SEMA APA MBONA HAWAKAMATWI NA WAPO , TENA INGEKUWA NAFASI NZURI YA SEREKALI KUWEKA MAMBO HADHARANI KWA HARAKA, SITAKI KUAMINI KAMA UWEZO WA JESHI LA POLISI UNAUSHUSHA IVYO KWA KUSEMA WANAMTEGEMEA DEREVA TU KWENYE HII KESI UKO NI KULIDHALILISHA JESHI

Wewe bwabwanya maneno yote kiisha nenda jukwaa la siasa utakuta picha za aliyempiga lisu

Wewe akili yako ni ya kubadilisha pedi na kuchamba tu.

Huwezi kuwa mpenzi wa ccm na bado ukawa na akili timamu.

Mashabiki zangu nitarudi kuwajibu nikipata muda wenu.. msijali jamani..
Ninajua kuwavutia na nondo zangu.. kama kawa na majua hilo.
 
Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya kurekodiana imevuka mizizi maana wanadai sasa hata mke na mume wanarekodiana kwa kuviziana.

Sijaelewa mambo ya mke na mme yameingiaje kwenye mjadala wa Nassari, au kuna la zaidi hapo Clouds tusilolijua?

Source kipindi cha Clouds 360!
Stupid people trying to comaflage faecal material with perfume
 
Clouds ni radio ya walamba matako aka ass leakers . Majitu hayana vyeti hata vya uandishi wa habari leo unawafanya watangazaji unategemea nini
 
Muda mwingi wanaongea ujinga.
Mkulu alituonyesfa flasher siku anapokea ripoti he bunge tanzanite. Alitufahamisha jinsi alivyo pata taarifa mbalimbali .tulipenda.njia hìi ni poa mtu anaumbuka nzimamzima.clouds acheni kulialia mambo binafsi ya boss wenu
 
Back
Top Bottom