Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,541
- 1,550
Lkn muhusika amekubali kuwa ni video zake akiwa ktk shughuli za kuhamasisha maendeleo,sasa wewe unaposema zimeungwa ungwa na fake,hatukuelewi!Kideo chao kile feki kimeungwa ungwa tu.
Upinzani wao kuumizana na kusubiri kuomba pesa za mtibabu watanue nazo.
Lissu atakapo pona atakuwa amewajua.. dereva wakusaidia eti mnamfichia Kenya!!.. ha haaaa kuogopa atawatumbua... hao waondoshwe huko Kenya wanaweza kumdhuru mgonjwa zaidi
Ni watu hatari kisa kiki za siasa zisizo na ubunifu kabisaaaaa.
Familia wafukuzeni hao waliomtenda..