Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,120
- 2,317
Mbona wanadiscuss vitu ambavyo havina relation.kwa hiyo walitaka DC aambiwe tunakurekodi, tunakuchunguza !
Hawamlengi nassari.. wanamlenga zamaradi avomrekodi bosi wao (ruge) husomi hata direction ya upepo mkuu?
Naomba nionjepo! huenda ukinipiga chini nitaanza kulia kama rugemwenye hiyo video ya mzee wa fursa akililia fursa iliopo katikati ya majapa aitupie hapa nasi tuizooom out. kumbe papuchi zetu tammm
Una uhakika?!Zamaradi umetisha sana,Ruge hatokaa akusahau.
Waache upuuzi wao!! Mbona hata Mukulu alitamka kuwa wamemrecord msaliti akiomba data na kitendo hicho hawakukipinga!!!!!!?????????????Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya kurekodiana imevuka mizizi maana wanadai sasa hata mke na mume wanarekodiana kwa kuviziana.
Sijaelewa mambo ya mke na mme yameingiaje kwenye mjadala wa Nassari, au kuna la zaidi hapo Clouds tusilolijua?
Source kipindi cha Clouds 360!
Kabae, Ngoma na Sasali ambao ni wabobezi wa mijadala ya mubashara na kuonyesha kwa matendo fursa huanzia sokoni ( studio )!Nauliza hao wanaojadili ni watu wa maswala ya kiuchunguzi??
Au ni hao mapresenter wa clouds wanaojiona wanajua kila kitu kuanzia siasa, uchumi, ukandarasi, n.k
Watulize mtori nyama zikae juu.
Clouds tatizo wamejaa kina elton john......wakamsaidie Ruge kapigwa chini kabaki analialia tu
Mkuu umeamkia wap leo?Video za Uchunguzi hazina Ridhaa ya mtu endapo wangepata ridhaa ingeitwa Mchezo wa Kuigiza.
Kumrekodi bila kujielewa ndo inaleta uhalali wa CCTV Camera.
Lumumba kama kawa!Mkuu umeamkia wap leo?