Washington mlela
Member
- Oct 2, 2017
- 5
- 0
Kurekodi ni moja ya ushahidi unaokubalika Mahakamani.
Kumbe ile video yao ya PM akivamia studio za Clouds ulikua mchezo wa kuigiza!Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya kurekodiana imevuka mizizi maana wanadai sasa hata mke na mume wanarekodiana kwa kuviziana.
Sijaelewa mambo ya mke na mme yameingiaje kwenye mjadala wa Nassari, au kuna la zaidi hapo Clouds tusilolijua?
Source kipindi cha Clouds 360!
Leo big upVideo za Uchunguzi hazina Ridhaa ya mtu endapo wangepata ridhaa ingeitwa Mchezo wa Kuigiza.
Kumrekodi bila kujielewa ndo inaleta uhalali wa CCTV Camera.
Wewe bwabwanya maneno yote kiisha nenda jukwaa la siasa utakuta picha za aliyempiga lisuKideo chao kile feki kimeungwa ungwa tu.
Upinzani wao kuumizana na kusubiri kuomba pesa za mtibabu watanue nazo.
Lissu atakapo pona atakuwa amewajua.. dereva wakusaidia eti mnamfichia Kenya!!.. ha haaaa kuogopa atawatumbua... hao waondoshwe huko Kenya wanaweza kumdhuru mgonjwa zaidi
Ni watu hatari kisa kiki za siasa zisizo na ubunifu kabisaaaaa.
Familia wafukuzeni hao waliomtenda..
Huwa wanajichetua tuKuna wakati huwa unasomeka na wakati mwingine unakuwa chenga full!
Siyo radio ni tv mkuu!!Hiyo radio ya makanjanja au unazungumzia ipi
Huwezi kuwa mpenzi wa ccm na bado ukawa na akili timamu.Kideo chao kile feki kimeungwa ungwa tu.
Upinzani wao kuumizana na kusubiri kuomba pesa za mtibabu watanue nazo.
Lissu atakapo pona atakuwa amewajua.. dereva wakusaidia eti mnamfichia Kenya!!.. ha haaaa kuogopa atawatumbua... hao waondoshwe huko Kenya wanaweza kumdhuru mgonjwa zaidi
Ni watu hatari kisa kiki za siasa zisizo na ubunifu kabisaaaaa.
Familia wafukuzeni hao waliomtenda..
Ukijiweka kwa dem full kisha akaolewa na bwana mwingne ndo utamjua zamaradi ni naniZamaradi ndio nani tena?!!
Kurekodiwa ni njia mojawapo ya kupata ushahidi usiokua na mashaka na hakuna mtu muovu yeyote atakupa ridhaa ya kumrekodi. Hata Nixon alipoteza urais kwa kanda za watergate zilizorekodiwa kisiri.Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya kurekodiana imevuka mizizi maana wanadai sasa hata mke na mume wanarekodiana kwa kuviziana.
Sijaelewa mambo ya mke na mme yameingiaje kwenye mjadala wa Nassari, au kuna la zaidi hapo Clouds tusilolijua?
Source kipindi cha Clouds 360!
Aliyetumia ID yako kwenye huu uzi ana busara kwa leoVideo za Uchunguzi hazina Ridhaa ya mtu endapo wangepata ridhaa ingeitwa Mchezo wa Kuigiza.
Kumrekodi bila kujielewa ndo inaleta uhalali wa CCTV Camera.
Ni yeye mwenyewe mkuu!!Aliyetumia ID yako kwenye huu uzi ana busara kwa leo
Wewe unatakiwa uisaidie polisi inaelekea unajua kila kitu.Halafu usingizia jirani.Wewe jina lako kwenye biblia una jina lijulikanavyo hivi ;BELZEBULI;Kideo chao kile feki kimeungwa ungwa tu.