Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Mjadala unaendelea ila wanasema kitendo cha kumrekodi mtu bila ridhaa yake ni dalili za uzushi, umbea na kupungukiwa maadili kulikopitiliza. Kwa namna wanavyojadili ni kana kwamba hii tabia ya kurekodiana imevuka mizizi maana wanadai sasa hata mke na mume wanarekodiana kwa kuviziana.
Sijaelewa mambo ya mke na mme yameingiaje kwenye mjadala wa Nassari, au kuna la zaidi hapo Clouds tusilolijua?
Source kipindi cha Clouds 360!
hao Clouds wana jazba boss wao Ruge amerekodiwa na Zamaradi akililia penzi.