Cloud TV ndani ya Zuku...

Cloud TV ndani ya Zuku...

Mchakatoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
327
Reaction score
63
Hatimaye kampuni ya Zuku TV imeongeza local nyingne ie.Cloud Tv na kufanya idadi ya chn za Tanzania kufikia 3 baada ya TBC,Chnl10..nadhan hawa jamaa wanaongoza kuwa local chnl nyingi zinazopatkana Afrika Mashariki! Ombi langu ni chanel zaidi za michezo km mpira eg.EPL,La Liga na Serie A...
 
Kaka kuna startimes, wana eatv, itv, channel ten, tbc, sibuka, star tv,
 
Hatimaye kampuni ya Zuku TV imeongeza local nyingne ie.Cloud Tv na kufanya idadi ya chn za Tanzania kufikia 3 baada ya TBC,Chnl10..nadhan hawa jamaa wanaongoza kuwa local chnl nyingi zinazopatkana Afrika Mashariki! Ombi langu ni chanel zaidi za michezo km mpira eg.EPL,La Liga na Serie A...

bwana mdogo sio unaongeaongea tu bila ushahidi!!
 
Wanaboa Zuku hawabadiliki channel 3 ndiyo nini sasa. Naangalia pia ujio wa Sahara na chao cha Cöntinental DVB T2. Usikimbizwe na decoder baki na dish la FTA Kwanza. Tcra ovyo wanaongea tu hakuna regulation ya decoder
 
Aisee! madhara ya shule za kata ndo haya..kumbe watu bado hawajui kusoma..ngoja nianzishe mkakati kuandaa curriculum kwa member wa JF wasiojua kusoma!
 
Wanaboa Zuku hawabadiliki channel 3 ndiyo nini sasa. Naangalia pia ujio wa Sahara na chao cha Cöntinental DVB T2. Usikimbizwe na decoder baki na dish la FTA Kwanza. Tcra ovyo wanaongea tu hakuna regulation ya decoder

tafadhali naomba bei ya dish full kwa dar pamoja na bei ya ufundi
 
Thread zingine bana.
Startimes wana Dtv, tbc1, tbc2, clouds tv, chanel ten, startv, itv, sibuka tv na eatv.
Hauwezi kuwalinganisha na zuku ambao walikua na 2 na sasa eti ndo wameongeza ya 3 na ndo maana watu wengi wanaenda startimes mkuu.
 
Back
Top Bottom