Dini ni nini?
Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha.
Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu...
Kuna uongo ambao tumelishwa kwa miaka mingi kwamba dini zinaleta amani na upendo tu. Ukweli wa kihistoria na wa kimaandiko uko wazi: Dini nyingi zimejengwa juu ya mfumo wa kubagua watu, kueneza chuki, na kuvunja hata mahusiano ya familia
Ukiacha maneno matamu jukwaani apa na ukaenda kwenye...
Leo secretarybird ameachia uzi wenye mafundisho murua juu ya baba wa kambo .
Lakini kama kawaida mmekua wenye kiherehere na kihoro cha kufuta Kila mara nyuzi zenye mafundisho maridhawa zinaporindima hapa jukwaani.
Sasa napenda niwaonye huku nikiwapa muda wa kujitafakari. Tusipangiane vya...
Hivi haya mafundisho tunayopewa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa hivi hivi au kwa wazungu wanapewa mafundisho yao mengine japo dini moja.
Kuna vitu ukivisikiliza kwa masheikh au wachungaji haviingii kabisa akilini na mbaya zaidi ukihoji uweze kuelewa na kuondolewa shaka...
Wakuu kuna moments huwa binadamu tunazipitia, zinakuwa ni nyakati ngumu zinazokupa mzigo kichwani kias kwamba unakata tamaa kabisa unajiambia moyoni hapa sitoboi dadek, ila unajipa moyo ngoja niendelee kujaribu ikishindikana basi.
Halafu unaona mambo yanaanza kuclick, unaanza kuelekea kwenye...
Mafundisho makuu ya Yesu Kristo ni Upendo.
1. Kuwapenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe
2. Kuwapenda na kuwaombea maadui zako.
3. Ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine
4. Kusamehe saba mara sabini
5. Kutopenda kujikusanyia mali/ kuwa tajiri bali kusaidia masikini na wahitaji.
Haya...
Mafundisho makuu aliyofundisha Yesu mwenyewe mfano wa mafundisho ya akina Budha au Confucius ambayo ni ya kipekee (unique) yeye akiwa kama muasisi wake ni yapi ?
Mwaka 1992 nikiwa nasoma mafundisho ya kipaimara, siku moja tulikuwa darasani Sister anafundisha. Katika kuzunguka darasani akamkuta mwanafunzi mmoja ana hirizi yake shingoni, sister akalipuka kwa mshangao, akamvua yule msichana ile hirizi na kuikatakata kisha akamvisha rozari.
Kwa wakati ule...
CC: Mshana Jr
TUFUNDISHE ZAIDI
Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya kawaida au afya, ndani yake kuna mambo mazito unayopaswa kuyajua kabla hujaingia.
1. Mtego wa Kiroho...
Wakuu nimekuta na hii video sehemu, Mchungaji anawasimanga vijana na kuna mahala anaenda mbali zaidi mpaka kusema Vijana hawezi hata kudai haki, wakipewa Elfu 5 tu wavaa T-shirt.
Hii mijadala ya dini na siasa imekuwa yakawaida sana hivi karibuni na mpaka wa Viongozi wa dini kuonekana wanafanya...
Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.
Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo.
Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini.
Kupitia maneno yake na matendo yake...
Kuna baadhi ya mafundisho yanaenea katika Ukristo ambayo hayana msingi wowote kwenye Biblia
1. KUAMURU MALAIKA (COMMANDING THE ANGELS)
Kuna baadhi ya watumishi wanafundisha waumini kuamuru Malaika kufanya mambo fulani. Jambo hili ni kinyume kabisa na maandiko kwani Malaika ni watumishi wa...
Mtakatifu MARIA GORETTI
Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita.
Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
Kwa wanaopenda kusikiliza na kuyajadili mafundisho ya kikristo ya huyu mwalimu tukutane hapa. Mimi si mtu wa kuvutwa au kukubaliana kirahisi na hawa walimu wa biblia wa siku hizi ila kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimesikiliza mafundisho na vipindi vyake vya maswali na majibu huko YouTube na...
Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
Shalom!
Niko mbioni kuanzisha kanisa langu na yafuatayo yatakuwa mambo ambayo nitayafundisha
1. Kwamba ukifa kunakuwa na mzani utakaotumika kupima ubaya na uzuri uliofanya ukiwa duniani na iwapo ukiwa na mabaya mengi basi utatupwa kwa jehanamu ukiwa na mazuri mengi basi utaingia peponi. Hii...
Kwa unyenyekevu na matumaini wanazuoni wenzangu, heshima sana kwenu...............
Sherehe za Pasaka zinatufundisha kila mwaka kuhusu maadili ya kujitolea, ukweli, na dhamira. Pasaka ilitokea baada ya Yuda kumsaliti Yesu kwa fedha za dhihaka, lakini pasaka sio tu kumbukumbu ya tukio la...
Takwimu zinathibitisha na ukweli unajidhihirisha wazi na kila mahali. Sina shaka hata wewe mwanaJF unayesoma munakasha huu umewahi kusililiza clips za viongozi wa dini ambazo nyingi zinahusu masuala ya ngono na kujamiiana.
Hebu pia msikilize na huyu kiongozi wa dini jinsi mafundisho yake...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametania kuwa nyama choma ya Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi kuhusu masuala ya afya.
"Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha haina uhusiano na mafundisho ya Dkt. Janabi. Sisi...
Wadau hamjamboni nyote?
Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia
Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.