Clara Luvanga: Wanaume wanaogopa kunitongoza

Hii ndio mikato yangu wakuu, mwenye namba zake tafadhali....๐Ÿ˜‹
Dah! Umetisha sana muhuni , nililioteaga moja kwenye harakati zangu dah! ratiba likawa linaandaaga lenyewe tu .

Utata masign yake sasa ,utasikia oyi tukakiwashe au? Vinakuwaga na wet ya maana hivi nihatari .

Ila huwa inapendaga kufinywa kiadui siyo kama wetu hawa.
 
Umetoka kuswali insha lakini Ostadh ๐Ÿ˜น
 
Mazoezi na vyakula, vyakula vyetu vina jenga mwili ukiwa unafanya kazi ngumu kidogo tu bila ata kwenda Gym, kingine Mazingira ya malezi ya familia.
 
Sasa kama hata akiwa kwenye maisha ya kawaida anajiweka kiume.?

Mbona mi nawatani sana Oppah clement, na a.corazone wa simba japo ni wabishi uwanjani..
 
Sawa mazoezi yanawaweka na misuli, sema wengi wao wanajiweka kiume zaidi, mavazi ya kiume. Sasa hapo na hiyo kaunda suti si utasema ni bob Ludala ama mjomba wa peku yule mnafiki jina nimelisahau.
Mjomba anaitwa mrisho mpoto
 
Sasa kama mwanamke ana sura imekakamaa kama ya mwanaume kuna mwanaume gani atajitosa kumtongoza? Labda atongozwe na wale wanaume ambao hujaribu kutongoza wanawake wenye haiba ya kiume ili tu waonje mpiko wake una ladha gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ