Dr.zero
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 964
- 434
mwenyekiti mwenyewe cna imani nae, anabariki mwingine live
Mwenyekiti anatenda kwa uwazi na usiporidhika si kuna kamati ya sheria unakata rufaa, kule wapo Ruttashobolwa, Kipipi ila sina uhakika kama Judgement nae karudi ofsini
Last edited by a moderator: