Ckutegemea we mwanaume

Ckutegemea we mwanaume

BIG NO hiyo sheria imepitwa na wakati bana, mtu akifanya vibaya hapa atajwe jina lake in BIG letter, Bold, Red, Underlined! Tusipowataja watajua hakuna anayejua uchafu wao ukizingatia wengine huku ni underground(wanaharibu kimya kimya) na madhara yao ni makubwa na kwa watu wengi. Plz naomba chief judge Rutta uangalie hili
Pia naomba kamati ya inteligensia na usalama wa chit chat ikae na kumchunguza kwa angle zote C. T. U kama alikuwa na nia njema alipoleta sheria hii kandamizi ya kuficha waovu na maovu yao.
Cc: rutta chief judge wa cchc, bishanga mfadhili wa cc, Baba V mwenyekiti, gfswin mshauri, madam B, na wadau wengine(itifaki haijazingatiwa hata kidogo!)

hata nikimtaja ntazidi umia tu maana inaonyesha kajipanga
 
Ni nani yeye atuletee sheria hapa, funguka mazima, huku ndo chit chat, Where we dare to talk, love, hate and meet OPENLY. Mchane laivu huyo alokutenda afu tuma copy kwa mwenyekiti

mwenyekiti mwenyewe cna imani nae, anabariki mwingine live
 
dr 0 niunge mkono na mguu huo anayetaka kubadli sheria za humu apandishwe kizamba cha cchc mara moja. Nimeshaeleza nia yangu kwa chief judge Rutta na anaangalia namna tunavyoweza kumpoteza huyo anayetuharibia mara moja.

Huyo aliependekeza hiyo ndio mmoja wa virusi wa wazi wazi hapa CC, C.T.U ndo mchafua hewa mkubwa hapa ndani, nawashangaa wanaosema wanamsikiliza maoni yake, unless hawajitambui
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom