Ckutegemea we mwanaume

Ckutegemea we mwanaume

Huku CC kila leo tunayashuhudia, kali kuliko yote juzi kati tu kuna kidudu mtu mwenye jinsia mbili kaumbuliwa mchana kweupe, pale moderator walipochana GAGULO lake hadharani...

cc imekuwa cc siku hiz!lol
kila nikiingia najihis mgeni wakt ndo ilikuwa sebule yangu mie!
anyway yataisha tu ,ni upepo tu!
 
Huku CC kila leo tunayashuhudia, kali kuliko yote juzi kati tu kuna kidudu mtu mwenye jinsia mbili kaumbuliwa mchana kweupe, pale moderator walipochana GAGULO lake hadharani...

Blaza!
Taratibu basi, aste'aste
Wengine tuna maaleji'sugu tukiskia tu neno GAGULO tunahemkwa Unnecessarly!
 
Ni nani yeye atuletee sheria hapa, funguka mazima, huku ndo chit chat, Where we dare to talk, love, hate and meet OPENLY. Mchane laivu huyo alokutenda afu tuma copy kwa mwenyekiti

dr 0 niunge mkono na mguu huo anayetaka kubadli sheria za humu apandishwe kizamba cha cchc mara moja. Nimeshaeleza nia yangu kwa chief judge Rutta na anaangalia namna tunavyoweza kumpoteza huyo anayetuharibia mara moja.
 
BIG NO hiyo sheria imepitwa na wakati bana, mtu akifanya vibaya hapa atajwe jina lake in BIG letter, Bold, Red, Underlined! Tusipowataja watajua hakuna anayejua uchafu wao ukizingatia wengine huku ni underground(wanaharibu kimya kimya) na madhara yao ni makubwa na kwa watu wengi. Plz naomba chief judge Rutta uangalie hili Pia naomba kamati ya inteligensia na usalama wa chit chat ikae na kumchunguza kwa angle zote C. T. U kama alikuwa na nia njema alipoleta sheria hii kandamizi ya kuficha waovu na maovu yao. Cc: rutta chief judge wa cchc, bishanga mfadhili wa cc, Baba V mwenyekiti, gfswin mshauri, madam B, na wadau wengine(itifaki haijazingatiwa hata kidogo!)
Dah . . . .yaani kuna mtu hapo umemtaja vizuri kweli kumbe ndo mharibifu na mnafiki number one!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom