Ckutegemea we mwanaume

Ckutegemea we mwanaume

Come on snowhite,are you trying to tell me kwamba hujui kuwa humu jamvini hususani CC na mmu kwamba watu wanapeana e mails na phone numbers wanakutana wanazoeana na mwisho wanarengetana? Hujui kweli?
sijakataa but duh!ngoja ninyamaze!
 
shemeji mbona hivyo lakini! Hivi unajua kama nakumiss sana?

We all miss you Husninyo! Wanao aunties wako wanakuulizia umepotea Hii shilingi inatafutwa hadi tunasahau kujuliana hali.
 
Last edited by a moderator:
Huyu dada ako huwa anajichimbia sijui pande gani...akiondoka kipindi tunapanda, tegemea atarudi wakati wa mavuno!!!

mdogo wangu mi nipo. nawamisije ila kesho ntakuja home, watoto wasije wakanisahau bure. nichinjieni yule jogoo mwenye hips za kichina.
 
Last edited by a moderator:
Huyu dada ako huwa anajichimbia sijui pande gani...akiondoka kipindi tunapanda, tegemea atarudi wakati wa mavuno!!!

unachonga eeeeeeeehhhhh!!!!! utaoga mvua ya nakozzzz! ooohho.
ila shem najitahidi kuja kutupia hi humu. msije mkahisi nsharest in peace bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom