Ckutegemea we mwanaume

Ckutegemea we mwanaume

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
Niliingia mzima mzima , nikajiamini, nikaona unatoka familia bora yenye malezi ya wazazi wanaojitambua ,
kumbe ckujua ni chui uliyejivika ngozi ya kondoo, nilishauriwa humu nikajifanya kichwa ngumu, Bishanga alinionyesha taa nyekundu nkadhani wanakucingizia kumbe lol, Ningejua hua majuto cku zote, nimekubali kua singo for life ,kila la heri ila usimdanganye tena na huyo fanya kwangu ilikua bahati mbaya tu.Ameeen
nb usije ukabadili tena jina maana ndio kilikua chanzo cha kunikwepa
 
kasema sheria tusitajane majina
BIG NO hiyo sheria imepitwa na wakati bana, mtu akifanya vibaya hapa atajwe jina lake in BIG letter, Bold, Red, Underlined! Tusipowataja watajua hakuna anayejua uchafu wao ukizingatia wengine huku ni underground(wanaharibu kimya kimya) na madhara yao ni makubwa na kwa watu wengi. Plz naomba chief judge Rutta uangalie hili
Pia naomba kamati ya inteligensia na usalama wa chit chat ikae na kumchunguza kwa angle zote C. T. U kama alikuwa na nia njema alipoleta sheria hii kandamizi ya kuficha waovu na maovu yao.
Cc: rutta chief judge wa cchc, bishanga mfadhili wa cc, Baba V mwenyekiti, gfswin mshauri, madam B, na wadau wengine(itifaki haijazingatiwa hata kidogo!)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom