Ckutegemea we mwanaume

Ckutegemea we mwanaume

shem huko kuna jam na giza balaa. hata sioni ujue. hebu tafuta alternative. lol

teh! naona shem wangu kaamua kunitosa baharini lol...

unachonga eeeeeeeehhhhh!!!!! utaoga mvua ya nakozzzz! ooohho.
ila shem najitahidi kuja kutupia hi humu. msije mkahisi nsharest in peace bure.

yeah huwa waja na kupotea kama mwezi mwandamo...
 
teh! naona shem wangu kaamua kunitosa baharini lol...



yeah huwa waja na kupotea kama mwezi mwandamo...[/QUOT



watu8 yaani hapa nilipo nimechoka mpaka najiuliza kama ningekuwa na mkia ningeweza kuubeba au ningeuburuza tu,mzima lakini kaka..??Msalimie mzee wa majungu Erickb52
 
Last edited by a moderator:
teh! naona shem wangu kaamua kunitosa baharini lol...



yeah huwa waja na kupotea kama mwezi mwandamo...

asa shem wataka nifanyaje mie?? au nimuite mdogo wangu anisaidie hapa.
 
Bado ana wasiwasi kutokana na sekeseke lile la wakti ule, eti kwa urembo wako utamzidi kete...analinda mume!!!

asikabe sana. asije akafa kabla ya umri. si unajua pms zingine zinapoteaga njia!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom