Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,630
teh! teh! huyu bwana kaona dogodogo kakusahau...
we acha tu, urembo kuna kuzidiana best
we acha tu, urembo kuna kuzidiana best
Huyo aliependekeza hiyo ndio mmoja wa virusi wa wazi wazi hapa CC, C.T.U ndo mchafua hewa mkubwa hapa ndani, nawashangaa wanaosema wanamsikiliza maoni yake, unless hawajitambui
thenkyuuuu CCB
Suprise umelalamika sana.Niruhusu nikutajie mie siogopi manundu.
umefikia wapi katika lipi,mpe salam
hahaha naoopa ntamuharibia kipya kinyemi chake dada yangu
hahaha naoopa ntamuharibia kipya kinyemi chake dada yangu
wa majani mapana au wa barabara ya 20
me mwenyewe mgeni pande hizo