Ckutegemea we mwanaume

Ckutegemea we mwanaume

love love love love ndoa ndoa ndoa mapenzi mapenzi sijui kwa nini hii mikitu imo humu duniani tunaishia kuumizana tu!!!!!i wonder kama kuna binadamu anaweza toa ushuhuda kuwa hajawahi umizwa kwenye dunia ya mapenzi.
 
Huku CC kila leo tunayashuhudia, kali kuliko yote juzi kati tu kuna kidudu mtu mwenye jinsia mbili kaumbuliwa mchana kweupe, pale moderator walipochana GAGULO lake hadharani...

hiv mtani haya makitu yaapo kweli!?
THIS ISSUE INAKUWA VERY SERIOUS!lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom