Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,305
- 8,655
- Thread starter
- #121
Grades of Concrete!
Katika Uchanganyi wa Zege (Concrete Mix) Kuna Aina mbili yaani Nominal Mix, na Design Mix..
Nomina Mix
Hii inatumika hasa kwenye nyumba za kawaida za kuishi yaani pale ambapo High strength ya zege haihitajiki..Hasa kwenye nyumba za kawaida, Nominal Mix ina Gredi/Class kama 5,7.5,10,15,20,25 ila Gredi 15 hadi 25 mara nyingi hutumika kwenye nguzo na msingi.. hasa katika sehemu inayohitaji usukaji wa Nondo..
Design Mix!
Aina ya Pili ni hii Design Mix.. hii hasa hutumika kwenye Project kubwa sana ambazo zinahitaji high strength concrete.. aina hii lazima kwanza vipimo vya kimaabara vifanyike..Huanzia class 30, 35,40 na Kuendelea!
NOTE
Tunaposema class/Grade tunamaanisha uwiano wa Mchanga, cementi , maji na Kokoto Katika Zege..
Kwa Zege zuri mara Nyingi Kiasi cha Maji kiwe nusu ya Kiasi cha Cementi katika uwiano wa uzito Yaani Cement:Maji=0.5
Uwiano wa Zege Huwa Cement:Mchanga:Kokoto, Tuangalie kila Gredi na Uwiano wake..
M5 =1:5:10
M7.5=1:4:8
M10=1:3:6
M15=1:2:4
M20=1:1.5:3
M25= 1:1:2
Class/Grade Kuanzia 30 ni Design Mix, Mathematical Evaluations zinahitajika!
Asanteni!