Wakuu msaada wenu nauliza
Je designing ya surface drainage (side drainage) inafanana na designing ya drainage inayopita kweny mitaa..!?
Asante mkuu ila drainage nnazozungumzia mm n za surface rain off yan za maj ya mvuaHujaeleza vizuri drainage zako. But kuna zile factor za manning na equation zake zitasaidia unachotaka
️️
Hii ni Slab Formwork Failure during pouring, Unafikiri kwanini
nimetumia muda mwingi sana kujiimarisha katika autocad na ArchCAD, na nilitaka nianze master series, bt some of ma college mates wakawa wanadai naconcetrate na vitu ambavyo sitavitumia kwa saana
Safii sanaa!Kwa Civil Engineer ni muhimu sana kuielewa vizuri AUTOCAD software for preparing structural drawings pia kama utajikita kwenye design ni muhimu kuweza kutumia software za analysis and design e.g Master series,Robot Structural,SAP 2000,ETABS,MIDAS,Orion na Protas structure na zingine nyingi(Kila moja ina advantage yake though zote zinatumika kufanya structural Design).Baada ya kumaliza chuo huwezi jua wapi utafanya kazi(Design office or Site),ni vizuri kujiweka vizuri kwa kadri utakavyoweza.
Ushauri mzuri huu!!Kwa Civil Engineer ni muhimu sana kuielewa vizuri AUTOCAD software for preparing structural drawings pia kama utajikita kwenye design ni muhimu kuweza kutumia software za analysis and design e.g Master series,Robot Structural,SAP 2000,ETABS,MIDAS,Orion na Protas structure na zingine nyingi(Kila moja ina advantage yake though zote zinatumika kufanya structural Design).Baada ya kumaliza chuo huwezi jua wapi utafanya kazi(Design office or Site),ni vizuri kujiweka vizuri kwa kadri utakavyoweza.
Sisi tulio wengi mara nyingi tunacrake vichwa kufanya design manually na kudevelop our own way of design through programming via excel spreadsheets.Mimi nmejifunza sana AutoCAD kwenye drawing na ORION kwenye structure analysis nmefanikiwa kuziweza kiwango kizuri
Master series nlikuwa nakosa pa kupata hio software na nliamini orion na autoCad zinatosha
Kupitia uzi huu nmefanikiwa kujifunza umuhimu wa master
series.nlikuwa Naomba msaada ma engineer wenzangu wa link ya ku download master series au mtu anaejua setup yake kwa kudownload naomba anielekeze
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Lengo langu ni kujifunza kutumia hii program mana kuna vitu sio rahisi kuvitengeneza kwa excel.Naomba nisaidie hio link engineerSisi tulio wengi mara nyingi tunacrake vichwa kufanya design manually na kudevelop our own way of design through programming via excel spreadsheets.
Software ukizizoea sana at the end of day unapoteza critical thinking.
Kwa mfano vitu gani sio rahisi?Lengo langu ni kujifunza kutumia hii program mana kuna vitu sio rahisi kuvitengeneza kwa excel.Naomba nisaidie hio link engineer
Ni kweli na ni vizuri kufanya hivyo mkuu,hongera pia kwa kuwa na hizo skills.Ila inapotokea ukakutana na structure itakayokuhitaji kufanya advanced analysis e.g seismic analysis,hapo kutumia manual method it will cost you alot of time and possible errors.Software zinarahisisha kazi na kupunguza time ya kumaliza project.Hata hivyo ni muhimu sana kuwa na uwezo wa kufanya manual design na kuelewa vizuri design procedures hata kama unatumia hizo software.Sisi tulio wengi mara nyingi tunacrake vichwa kufanya design manually na kudevelop our own way of design through programming via excel spreadsheets.
Software ukizizoea sana at the end of day unapoteza critical thinking.
Interesting thread nimetoka kupiga masterseries mda c mrefu nafungua Jf nakutana na mambo mazuriHabari Zenu ndugu zangu, nimeona ni busara kuanzisha uzi huu mahususi kwa ajili ya kujadiliana maswala ya ujenzi kwa ujumla.
Ni ukweli usiopingika ujenzi ni sehemu muhimu ambayo kila mtu anatakiwa angalau kuwa na idea nayo!
Basi kwenye uzi huu tutaajadiliana changamoto zote za ujenzi yaani wa majengo, barabara na Miundombinu ya maji pia ambayo pia ni sehemu ya Uhandisi wa ujenzi/maji!
Tutakutana na wahandisi wa wa Majengo/Barabara pia na kwa upande wa Maji!
Ewe Mhandisi tunaomba ushirikiano wako katika kutimiza Hili, Aidha inaruhusiwa mtu yeyote kuuliza swali au kutoa idea na wataalamu/wahandisi tuliopo hapa Jukwaani tutasaidiana kufafanua.
Kama Mhandisi wa Ujenzi nimeona ni busara kuleta uzi huu kwenu, karibu nawe pia kwa mchango wako!
Ahsanteni sana!
View attachment 581989View attachment 581991
View attachment 581992View attachment 581993
habari wahandisi, kwa harakaharaka hapo jengo nazani litakua limesababishwa na sababu zifuatazo.
Hii construction failure unafikiri imesababishwa na nini?