City sports lounge mnatukera

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
city Sport Lounge, mgahawa uliopo katikati ya jiji la Dar, mtaa wa Samora/Azikiwe, kwenye round about ya askari, umekuwa ni kero sana kwa sasa, kila mara hakuna umeme, ama mafundi kila siku wanatengeneza,

YES, watu hupenda kufika pale kupata moja moto moja bariiiidi lakini mnatu-bore

CC Tusker Bariiiidi
 
Ulitakiwa tu kuhama hicho kiunga unless kuna zaidi ya hiyo!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom