Circumsized Women: They are strong(powerful) but weak in love!!

Circumsized Women: They are strong(powerful) but weak in love!!

Mimi hapa! Ila Smile itabidi ulipie pesa nyingi maana procedure kwako itachukua muda mrefu zaidi! Lol!

ungariba umefanya nikukumbuke mwaJ..
Ulikuwa serious kwa hayo maneno hapo juu?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaaaaa! kiwatengu huna habari kuwa nilishafunga hospitali na kuuza vifaa? Siifanyi tena hiyo kazi.

naamini uliiacha for good na si kwa shinikizo!
hyo kitu inawaondolea wadada utamu eti
 
Last edited by a moderator:
kweli? wa siku hizi hawatoi king'amuzi pekee!! mpaka t.v inazimwa kabisa!

ha ha ha ha ha ...wadau wengine mnachekesha sana!!!:smile-big::smile-big:
 
Back
Top Bottom