Circumsized Women: They are strong(powerful) but weak in love!!

Circumsized Women: They are strong(powerful) but weak in love!!

Wadau, kama kuna mwanaume aliyewahi kukutana na type hii ya wanawake anaweza sema kitu due to my title above!!
when i was 20, niliwahi kutana na girl wa kirangi..kiukweli her feelings was very far..na alikuwa strong sana! bt tohara kwa girls si nzuri

Powerful sidhani kwani u-powerful wa mwanamke unatokana na nafsi ama her smartness in life ya kwamba she knows what she wants in life na anapigania kile akitakacho. I find this really sexy in a woman si hawa wa kulala tu na kuomba misaada kisha uchapwa na kila dume lenye shilling 5,000 ili ajinunulie mkorogo na kula chips mayai bila mazoezi na kuota vitambi vya hajabu. Mwanamke si uzuri tu na maringo, mwanamke ni mambo yote: uzuri, kichwa (her smartness), ukarimu when necessary, na contribution in her marriage makes a woman powerful ila si kelele tu ili aonekane au aitwe iron lady, nooooo, huku ni kulazimisha. Kuhusu kuwa weak in love or love making ninaweza sema ni kweli kwani kumbuka kutairiwa kwa mwanamke ni kukatwa ile zana inayompa raha/starehe. Kwa mwanamme ni sawa na kukatwa pu.mbu (kiwanda cha shahawa), imagine umekatwa pum.bu huna shahawa then unafanya mapenzi na mkeo ama demu tu kisha unatoa hewa, utasikia raha kweli? Na ndiyo maana dada zetu waliotahiriwa huwa hawasikiagi raha ya ngono wanafanya tu kwa kulazimisha na kumfurahisha mwanamme. Inasikitisha na ni ujinga kwa jamii inayoendekeza hii kitu kwani this is a matter of common sense na human rights na wala si haki ya mila ama kabila fulani. Huu ni unyanyasaji wa kijinsia na inabidi utokomezwe mara moja. Najuwa ndugu zangu wa mikoa ya kaskazini (majina ya kabila kapuni) mtakasirika lakini ukweli ndo huo, mnawanyima haki dada zenu.
 
Mkuu Mkereketwa-huyu..hebu weka walau kabila moja la kaskazini wanaotahiri wadada? hapa sidhani kama wachagga wamo kwenye hii mila..unaweza kutujuza zaidi
 
Tunapotea sana kimaadili SIJUI WANAJISIKIAJE WAKATI WAO HAWAKUPENDA IWE HIVYO
 
Tunapotea sana kimaadili

Kiaje mkuu. do u think u can change, circumsized lady to be uncircumsized? yaliyotokea yametokea..na yana faida zake na hasara zake..maadili yanapotea kwa njia nyingi sana.
 
Kiaje mkuu. do u think u can change, circumsized lady to be uncircumsized? yaliyotokea yametokea..na yana faida zake na hasara zake..maadili yanapotea kwa njia nyingi sana.

sWALI LIMEULIZWA IN AN OFFENSIVE MANNER, NOT EDUCATIVE, NA JUKWAA LAKE HALISI SIDHANI KAMA NI HILI LA MMU BORA UNGEKWENDA KULE KWA WAKUBWA

KUHUSU HIYO YA KUPOTEA KWA NJIA NYINGI SI WARRANTY SASA YA KUPOTEA KILA NJIA
 
sWALI LIMEULIZWA IN AN OFFENSIVE MANNER,

No! ur the 1 who translate in offensive manner!! ila mara ya kwanza ckuielewa comment yako..ulivyoi edit na kuiongezea maneno ndiyo nimeelewa..hatubishani Mkuu!
 
Thanks na samahani kwa kuingilia mada... I should have kept quiet
 
Thanks na samahani kwa kuingilia mada... I should have kept quiet

Nothing wrong TIMING; and dont stay quiet, here every 1 has right to speak and say anything..dont keep quiet!
 
Ni kweli ..wengi wako kama midume..nafikiri ni ukatili sana kufanyiwa hii kitu kwa watoto wa kike.....
 
Nothing wrong TIMING; and dont stay quiet, here every 1 has right to speak and say anything..dont keep quiet!
i hear you buddy, that is what i have been doing since 2008, for almost 20,000 times

but some things are worth not to comment
 
Ni kweli ..wengi wako kama midume..nafikiri ni ukatili sana kufanyiwa hii kitu kwa watoto wa kike.....

Na hata kisaikolojia wanaathirika..Mkuu asigwa, do u think mababu zetu hawakuwa sahih kutekeleza ths type of mila?
 
i hear you buddy, that is what i have been doing since 2008, for almost 20,000 times

but some things are worth not to comment

offcoz! bt u cnt say ur full of knowledge to the maximum..ctl u can gain alot of it here
 
Na hata kisaikolojia wanaathirika..Mkuu asigwa, do u think mababu zetu hawakuwa sahih kutekeleza ths type of mila?
Sidhani kama walikuwa sahihi...Ila kwa waafrika kitu kinachohusu saikolojia huwa hakipwei uzito sana.....
 
Sidhani kama walikuwa sahihi...Ila kwa waafrika kitu kinachohusu saikolojia huwa hakipwei uzito sana.....

According to there time, hii kitu impact yake haikuwa kubwa..now days, ts very dangerous!!
 
Eti! FEMALE CIRCUMCUSION!
A MOTHER'S DECISION!!- Osman Conteh
 
Back
Top Bottom