Kumbe dada hatutoki wote Uru?natafuta ghariba ili niwe strong kama yupo jf ani pm
natafuta ghariba ili niwe strong kama yupo jf ani pm
Mimi hapa! Ila Smile itabidi ulipie pesa nyingi maana procedure kwako itachukua muda mrefu zaidi! Lol!
uongo mtupu, hujakutana nao tu nakwambia!!! tena wengine malaya balaa
natafuta ghariba ili niwe strong kama yupo jf ani pm
Au mfanyieni wawili wewe na Ngaliba Dume!