CIA walimuua Bob Marley?

Gud analysis
 
Ndoto zangu Ni kuja kufanya kazi CIA kwenye kitengo cha uuaji niwe muuaji wa kutegemewa.safi sana CIA big up kazi nzuri inaonekana
 
Kama Dube Aliuawa Kwa Gun Sishanga Kusikia Hili Kwa Bob Marley.

Sina Uhakika Lakn Hata Senzo Naye Inasemekana Aliuawa Vivyo Hivyo

Hapa nadhani story ni tofauti kidogo.....haihusiani na mkasa wa Bob........
 
Bob Marley Alikuwa Mwanaharakati Na Msema Kweli Hasa Kupitia Music.

Kama Dube Aliuawa Kwa Gun Sishanga Kusikia Hili Kwa Bob Marley.

Sina Uhakika Lakn Hata Senzo Naye Inasemekana Aliuawa Vivyo Hivyo.

Wakweli Huuawa Wakati Wanafiki Huvikwa Taji.
hiii story kweli tupu
 
amini tu ndo ilivyo! CIA wasikie kwa jirani,kati ya nyimbo zinazoishi na zitaishi siku nyingi zaidi ni nyimbo za reggae(roots)! salute kwako mkuu,leo nakula reggae tu "live concert za bob marley"
 
Hao wote wamekufa na ajali mmoja na madawa ya kulevya.
Hata hayo madawa ya kulevya inasemekana ni mbinu ya CIA kuua wasanii kwa kuwa expose kwenye madawa(cocain na heroin) na kuwa lock toward addiction, bob alikataa matumizi ya hayo madawa na badala yake alitumia sana bangi (herb) ambayo yeye aliamini ni tamaduni ya mwafika na inamsaidia kufanya meditation.
 
amini tu ndo ilivyo! CIA wasikie kwa jirani,kati ya nyimbo zinazoishi na zitaishi siku nyingi zaidi ni nyimbo za reggae(roots)! salute kwako mkuu,leo nakula reggae tu "live concert za bob marley"
Du inaniuma sana, kujua hili kwani kila nilipochek movie ya mazishi ya bob ilikua inaniuma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…