Dar_Millionaire
JF-Expert Member
- Aug 6, 2008
- 227
- 82
msiitupie hoja hiyo pembeni; mngejua tu; nenda kwenye National Archives mtashangaa walichokuwa wanazungumza wamarekani na Britain kuhusu Tanzania. Docs zao nyingi zilikuwa zina ban ya miaka 30; na nyingine miaka 40... za interests hasa ni za wakati wa mapinduzi na muungano na zile za wakati wa Azimio la arusha...
Hakuna lolote hapo....yaani Wanyamwezi wahangaike na kukosa usingizi kisa kanchi kadogo na maskini ka kutupwa kaitwako Tanganyika/ Tanzania....I'm not buying it.....
Blah Blah tu. Ngoja nizisake mimi
Hapa hamna lolote. Tanzania enzi hizo ilikuwa maskini wa kutupwa. Kama ni kweli Wamarekani walikoseshwa usingizi na sera za Nyerere basi walichemsha. Bado siamini....hizi ni stori tu.
nyani ngabu,read between the lines,mpaka barack obama anaenda kuomba kura za americans,of all places in israel,na ana backtrack on some issues in favour of israel should give you an idea of the cloat israel is carrying on world affairs and happenings.AGAIN CIA were intrested in tanzania cause this was the height of the COLD WAR-either you were east or west.tanzania falling in the hands of the east was creating great discomfort in western capitals