junky
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 413
- 979
Naona unataka kuleta ligi kwenye dunia ya sasa ya ujasusi na udukuzi kila taifa kubwa hufanya udukuzi..NSA na CIA hufanya hivyo kwa mataifa yote ndio maana tunaona CIA ikifika kipindi fulani huachia nyaraka za siri za taifa fulani za miaka 30 nyuma nk..Hata Urusi na North korea nao aliwadukua sio...?
Sina shaka na hilo wote hao urusi na North korea wanadukuliwa na wamedukuliwa sababu hakuna system yeyote iliyo salama 100%