CIA: Crown Prince Ordered Khashoggi's Assassination

CIA: Crown Prince Ordered Khashoggi's Assassination

Nimechoka hapo pa kudukuliwa kwenye simu. Wa Saud nao wanajiachia tu.

Hawa watu sijui wanajua siri ngapi hapa duniani.
The US National Security Agency (NSA) is using
voice recognition software to spy on people and
detect their locations, according to declassified
documents obtained by the media. The NSA has
been recording and gathering private phone calls to
identify people by their unique “voiceprint” for more
than a decade.
Zingatia "voiceprint"
 
""Kuna uwezekano mkubwa kabisa kwamba hao wauaji walikuwa ni wafungwa wa makosa makubwa kama ya mauaji na walitumiwa kwa kazi hiyo ambayo iliratibiwa na hao niliowataja hapo juu, ingawa hakuna ushahidi.

Hivyo wafungwa hao inawezekana wanasubiri kunyongwa kabisa kumaliza kazi na maisha yataendelea.""

Mkuu kuna kitu nimekuelewa hapo...kwenye hiyo comm'nt yako.. na ndio maana unakuta mission imefeli kabisa kutokana na kukosa uweledi.. lakini hata hivyo mpango si uliratibiwa na "inner cycles" wa MBS ...(kwa mujibu wa cia)..imekuwaje mpango upangwe kizembe namna ile ..??..

Khashoggi alikuwa anawindwa na lilikuwa ni suala la muda tu.

Kilichotokea yaani mission kufeli ni kwamba wale watu walikuwa wanatekeleza ile "extradition process" kwamba wamchukue na kumpeleka Riyadh.

Lakini alipokataa ndipo wakaanza kupigana humo ndani na masumbwi kutupwa lakini Khashoggi alikuwa pake yake dhidi ya watu zaidi ya 20, hivyo akashindwa vita hiyo na kudungwa sindano ya sumu au yenye dawa kali ya usingizi.

Dawa hiyo ilikuwa ni kali na ikamfanya apoteze fahamu na mwishoe kupoteza uhai na hayo ni maelezo ya majasusi wa Uturuki.

Khashoggi alifanya kazi ndani ya balozi za Saudia mjini London na Washington, hivyo alikuwa ni mmoja wa watu wa ndani kabisa yaani "jikoni".

Ukiwa mtu wa namna hii kwa nchi hizi kama Saudi Arabia, unatakiwa ama ukae kimya ule maisha au ujifiche kabisa, lakini sio kuonekana unatoa siri za wale waajiri wako wa zamani.

Kuna uwezekano mkubwa kabisa mauaji ya Khashoggi yangeweza kuepushwa maana iinaelezwa kwamba CIA na MI6 walifahamu juu ya mpango wa kumteka Khashoggi na kumuua wiki tatu kabla!

Ila tayari Inasemwa kwamba Mohammed bin Salman hakufahamu mpango huo kabisa, ingawa kuna mashaka juu ya hilo.

Hawa watu 15 walipelekwa Instabul kwa ajili ya kazi hiyo ya mauaji lakini Salman hakuwa anafahamu jambo hilo, hiyo ndo hitimisho.

Pia pale ubalozini kuna wafanyakazi wapatao 45 hivi na wote wanafanyiwa uchunguzi kubaini ni wepi walikuwa na mazungumzo na Khashoggi.
 
The US National Security Agency (NSA) is using
voice recognition software to spy on people and
detect their locations, according to declassified
documents obtained by the media. The NSA has
been recording and gathering private phone calls to
identify people by their unique “voiceprint” for more
than a decade.
Zingatia "voiceprint"

Edward Snowden aliyaongelea mambo kama hayo.
 
Sasa CIA wameshatoa tuhuma nzito kwamba yeye ndiye aliyeamrisha Khashoggi auawawe.. Hii ni diplomatic crisis kubwa sana sijui litaishaje!
undefinedTrump ana wakati mgumu sana,undefinedhuyo prince anatakiwa kustepdown kwanza kabla ya yote,undefinedundefinedsubiri sasa senema ya kubadili ukweli kuwa uongo
 
Wale Wa Saud 17 waliowekewa vikwazo kuhusiana na mauaji kumbe walikuwa wajumbe tu. Wanatimiza amri ya Boss, wakati mwenyewe kawekwa mbali.

Unless kama watafanya chochote baada ya haya matokeo.
What are the consequences following sasa?...America 'll punish crown prince or ndio nitolee?

Kile kifo kiliniuma mnoo[emoji22]
 
Yaani hii conclusion ya CIA inabeba vitu vingi tu kwenye diplomatic crisis.
Ya Saudia na Marekani na dunia kwa ujumla.
Mahusiano ya Trump especially, na the royal family. Halafu kuna Kuna King, sijui atapewa nafasi gani kwenye hili.
Prince kaliamsha..
Kaliamsha dude kweli...Salman anaonekana kabisa kuwa ni Barbarous
 
Kashoggi alikuwa anawindwa na lilikuwa ni suala la muda tu.

Kilichotokea yaani mission kufeli ni kwamba wale watu walikuwa wanatekeleza ile "extradition process" kwamba wamchukue na kumpeleka Riyadh.

Lakini alipokataa ndipo wakaanza kupigana humo ndani na masumbwi kutupwa lakini Khashoggi alikuwa pake yake dhidi ya watu zaidi ya 20, hivyo akashindwa vita hiyo na kudungwa sindano ya sumu au yenye dawa kali ya usingizi.

Dawa hiyo ilikuwa ni kali na ikamfanya apoteze fahamu na mwishoe kupoteza uhai na hayo ni maelezo ya majasusi wa Uturuki.

Khashoggi alifanya kazi ndani ya balozi za Saudia mjini London na Washington, hivyo alikuwa ni mmoja wa watu wa ndani kabisa yaani "jikoni".

Ukiwa mtu wa namna hii kwa nchi hizi kama Saudi Arabia, unatakiwa ama ukae kimya ule maisha au ujifiche kabisa, lakini sio kuonekana unatoa siri za wale waajiri wako wa zamani.

Kuna uwezekano mkubwa kabisa mauaji ya Khashiggi yangeweza kuepushwa maana iinaelezwa kwamba CIA na MI6 walifahamu juu ya mpango wa kumteka Khashoggi na kumuua wiki tatu kabla!

Ila tayari Inasemwa kwamba Salman hakufahamu mpango huo kabisa, ingawa kuna mashaka juu ya hilo.

Hawa watu 15 walipelekwa Instabul kwa ajili ya kazi hiyo ya mauaji lakini Salman hakuwa anafahamu jambo hilo, hiyo ndo hitimisho.

Pia pale ubalozini kuna wafanyakazi wapatao 45 hivi na wote wanafanyiwa uchunguzi kubaini ni wepi walikuwa na mazungumzo na Khashoggi.
Duuuh...asante mkuu, but Salman alijua mchezo wote A to Z aache kuidanganya dunia
 
...
Lakini sehemu, ama nchi zenye Dau kubwa ndio kunamulikwa zaidi.
Wakina sisi na utekaji wa kila leo unaoendelea, unaishia kupigiwa kelele kwenye media.
Then tunaachwa tupambane wenyewe na hali zetu..
Yes! wa-intercept mipasho ya uswahilini huku kwa maslahi gani waliyo nayo! Calls za Middle East, Europe, Russia, China, India, Cuba, Israel, Iran, N/S Korea, Japan, Australia, etc. hizo ndio za ku-intercept na sio za mbunge fulani kumpigia mwenezi kuomba kuunga mkono juhudi.
 
Nimechoka hapo pa kudukuliwa kwenye simu. Wa Saud nao wanajiachia tu.

Hawa watu sijui wanajua siri ngapi hapa duniani.
Sasa ndio ushangae huku mnaita kila Mtu spy, ila hali mnaweza kuwa spied na wala msijue kilichofanyika.
 
USA wanajulikana kwa udukuzi na magharibi pia
Ukijengewa ubalozi ujue kuna vyombo vya kunasa habari zimefungwa
Miaka mingi sana hii mbinu inatumika ingawa kwa sasa technology imekuwa na mambo yanafanywa tofauti kidogo.

MbS ndio muuwaji hili halina shaka na wala sio Mfalme.
Marekani watajifanya kumlazimisha sasa aache kuwauwa wayemen kwa kosa hili
Wakati wao ndio wanampa kiburi kwa sababu ananunua silaha toka kwao

Wakati wote hela inaongea na mwisho wa siku hawatamfanya lolote ila kuaminisha umma kuwa tunamshughulikia
 
Taarifa imeanza na conclution maelezo lakini Details zimetawaliwa na Possibility and assumptions
 
Hatuwezi kushindana na wazungu, inasemekana kwamba ili umpigie mtu simu na apokee lazima kwanza ifike marekani halafu ndo irudi kwa huyu unayempigia hata kama utakua umekaa nae hapo hapo ulipo.
oh yeah , wanaita 'Routing/Switching'
 
Nimechoka hapo pa kudukuliwa kwenye simu. Wa Saud nao wanajiachia tu.

Hawa watu sijui wanajua siri ngapi hapa duniani.
CIA si watu wa kuchezea; wapo juu sana ki technologia - wana uwezo wa kudukua hata mawasiliano ya Satellite Phones; Private frequency Phone kama zile wanazotumia Police na majeshi; wana uwezo kwa kuingilia mawasiliano yako yoyote ya kimtandao.

Kifupi as long as yur conneced to internet basi your not safe my friend.
 
Hatuwezi kushindana na wazungu, inasemekana kwamba ili umpigie mtu simu na apokee lazima kwanza ifike marekani halafu ndo irudi kwa huyu unayempigia hata kama utakua umekaa nae hapo hapo ulipo.
Kaka weka sawa namna hii.

Mfano Vodacom ama Tigo etc wanafanya switching hapa hapa; kwa hiyo wewe local user kama unampigia local user mwenzako hiyo call inakuwa routed hapo hapo switching room.

Kama unampigia User International basi voda watai route kupitia gateway yao ndiyo inakwenda huko via either Setellite ama Fibre.

Sasa wakati wa kusafiri hackers wanaweza ku temper na hizo information zako either za sauti ama text.

Ndo maana tuna namna ya kufunga hiyo sauti ama text isiwe tampered na mtu wakati inasafiri kwenda kwa mlengwa. Wengi wanatunia Vitual Private Network (VPN) yaani kwenye internet unatengeneza njia yenu (tunnel) wewe mtumaji na mpokeaji wa info peke yenu mnakuwa mnatumia hiyo kuwasiliana. Mabenki na Makampuni hutumia njia hii kuwasiliana HQ na branches zao duniani.

Lakini hata hivyo jamaa wana uwezo kwa kukudukua humo humo kama wakitaka- ndiyo maana nikasema as long as your connected to internet your info is not 100% secured.
 
Hawa waarabu ni bogus sana kwani inaonekana walitaka waanzishe huu mchezo wa kuua wale "Dissidents" walio uhamishoni kwa njia hii waliyotumia dhidi ya Kashoggi na hao Dissidents wamekua wakiogopa kwenda kwenye balozi zao huko waliko hata kama wana shida.

Huyu Mohammed Bin Salman, kama atapona kwenye hii kadhia na baadaye amrithi baba yake, ni wazi kuwa atakuwa mtawala katili sana mithili ya akina Saddam kwani ni mtu asiyekubali kabisa kukosolewa.
 
Back
Top Bottom