CIA: Crown Prince Ordered Khashoggi's Assassination

Hawa waarabu ni bogus sana kwani inaonekana walitaka waanzishe huu mchezo wa kuua wale "Dissidents" walio uhamishoni kwa njia hii waliyotumia dhidi ya Kashoggi na hao Dissidents wamekua wakiogopa kwenda kwenye balozi zao huko waliko hata kama wana shida.

Huyu Mohammed Bin Salman, kama atapona kwenye hii kadhia na baadaye amrithi baba yake, ni wazi kuwa atakuwa mtawala katili sana mithili ya akina Saddam kwani ni mtu asiyekubali kabisa kukosolewa.
Naogopa anaweza hata akamuua babake ili awahi kiti mapema!
 
Naona hata kuwa crown Prince alimlazimisha baba yake
Maana ilikuwa sio post yake hiyo bali ilikuwa ya cousin yake na ndie alikuwa next to the throne

Huyu watamuuwa hata kabla hajafika huko
 
Ninaamini baba MTU hakulazimishwa ila aliamua mwenyewe kumchagua huyo MBS...!! Lakini yetu macho.
 
What comes around,goes around.Binadamu tumuogope Mungu na tuishi kwa upendo na kufata amri zake.
 
Ninaamini baba MTU hakulazimishwa ila aliamua mwenyewe kumchagua huyo MBS...!! Lakini yetu macho.
Inawezekana pia maana, wana visasi sana hawa watu, na kijana ni mtemi sana.
Dhulma ya ndugu yake itamuandama sana
 
Hawa waarabu ni bogus sana kwani inaonekana walitaka waanzishe huu mchezo wa kuua wale "Dissidents" walio uhamishoni kwa njia hii waliyotumia dhidi ya Kashoggi na hao Dissidents wamekua wakiogopa kwenda kwenye balozi zao huko waliko hata kama wana shida.

Huyu Mohammed Bin Salman, kama atapona kwenye hii kadhia na baadaye amrithi baba yake, ni wazi kuwa atakuwa mtawala katili sana mithili ya akina Saddam kwani ni mtu asiyekubali kabisa kukosolewa.
MBS ni katili. Alikuwa anahojiwa CBS akatamka wazi kabisa akasema " no one shall remove me from power except death " hatotoka kizembe kwenye madaraka aliyonayo. Amejitolea kupambana na Ukoo wa Saudi.

Sasa hivi katika Royal family ya Saudi kuna mpambano wa madaraka.
Yupo: Mohammed bin Salman(MBS)
:Khaled bin Salman
:Ahmed bin Abdul
Huyo wa tatu ndiyo ukoo unataka kumuondoa MBS na kumuweka yeye.
 
Kudukua Ubalozini kumbe na yenyewe poa tu kwao. Hakuna respect kuwa Ubalozini ni 'Land' ya Nchi inayowakilishwa.
Kama Obama alikuwa anasikiliza maongezi wa chancellor wa ujerumani na kiongozi wa EU Bibiye Angel Merkel unashangaa ya balozi...

Cia wanafanya hivyo karibia kwa kila nchi na viongozi..
 
Aibu kwa mr.presdaa DONALD... maana yeye anatetea uhusiano wake na riyadh kibiashara..
Cia hawajali hilo.. wamekinukisha...
Sasa hapo me ndio nashindwaga kuelewa hawa US wanavyocheza na akili za ulimwengu..
Taasisi zipo huru kusema ukweli bila kujali mkuu wa nchi husika anatakaje..!!

Hii close relationship ya Rais na the royal family ndio inaleta swali la hatma ya MBS.
Trump Org. Inafanya business kadhaa na Saudia, na familia ya Kifalme.

Taasisi zao zinavyofanya kazi, hawajali hilo.
CIA wamelipua tu.
 
What are the consequences following sasa?...America 'll punish crown prince or ndio nitolee?
Kile kifo kiliniuma mnoo[emoji22]

Punishment lazima, hata kama Rais atataka kuitolea nje lakini U.S Lawmakers watalivalia njuga hili Zengwe.

Kaliamsha dude kweli...Salman anaonekana kabisa kuwa ni Barbarous

Huyu Prince mwisho, halafu kumuua kinyama haikutosha, waka dissolve mwili wake kwenye acid kuyeyusha na kufuta kabisa ushahidi.
Yaani ukisikia kupotezwa kwenye uso wa dunia ndio kama hivi sasa.
 
Jambo lolote linalopitia katika internet wanaweza kulisoma.Usalama ni kutotumia simu wala internet.Bora ile ya barua kwa posta zetu

Technology inakuja na issues zake.
 
Yes! wa-intercept mipasho ya uswahilini huku kwa maslahi gani waliyo nayo! Calls za Middle East, Europe, Russia, China, India, Cuba, Israel, Iran, N/S Korea, Japan, Australia, etc. hizo ndio za ku-intercept na sio za mbunge fulani kumpigia mwenezi kuomba kuunga mkono juhudi.

Eti wa intercept simu za kuomba kuunga mkono juhudi..😀

Usikute wanasikiliza halafu wanabaki kushangaa vituko vinavyoendelea...lol
 
MBS ni katili. Alikuwa anahojiwa CBS akatamka wazi kabisa akasema " no one shall remove me from power except death " hatotoka kizembe kwenye madaraka aliyonayo. Amejitolea kupambana na Ukoo wa Saudi.

Sasa hivi katika Royal family ya Saudi kuna mpambano wa madaraka.
Yupo: Mohammed bin Salman(MBS)
:Khaled bin Salman
:Ahmed bin Abdul
Huyo wa tatu ndiyo ukoo unataka kumuondoa MBS na kumuweka yeye.
Labda, wamjaribu huyo kuliko huyu MBS ambaye ni "The Butcher in the making'. Nimesema, " Labda" make "The good Arab is only the dead one", ukiangalia history ya hawa jamaa ni watu "Brutal, Harsh and Savage".
 
Punishment lazima, hata kama Rais atataka kuitolea nje lakini U.S Lawmakers watalivalia njuga hili Zengwe.

Huyu Prince mwisho, halafu kumuua kinyama haikutosha, waka dissolve mwili wake kwenye acid kuyeyusha na kufuta kabisa ushahidi.
Yaani ukisikia kupotezwa kwenye uso wa dunia ndio kama hivi sasa.
Baba handsome kama lote eti unalichop chop then unadumbukiza kwenye acid[emoji22] ...MBS anayaweza kweli
 
Kuna picha moja imeleakishwa kule twitter,
lijamaa moja limevaa kama daktari,koti jeupe,ameshika msumeno wa kukatia mifupa,bonesaw mkononi,kisha kwa chini kuna vipande vya nyama ,halafu kuna box la mbao liko wazi nadhani likisubili kuwekwamo hivyo vipande vya kashoggi,

Trump anafanya juu chini kumwokoa MBS,tatizo vyombo vya habari vimekaza na pia baadhi ya member wa congress,
baada ya kubanwa sana Trump anadai atakuwa na majibu sahihi ndani ya siku mbili,

MBS ni katili sana wala humlinganishi na kina Saddam,huyu ni mnyama,
miezi miwili iliyopita walimkosakosa kumuua,yeye na babake wakakimbilia sultan airbase ambayo ni base ya wamarekani,
Mbs analindwa na mamluki wa Blackwater,hawa ni security contractor wanaongozwa na mmarekani Erick prince.
Mbs yuko karibu sana na jerald kuchner,mkwe wa Trump,
kuna kipindi huyu kijana aliwahi kufiriska,Mbs akampa pesa za kutosha kurudi kwenye biashara,
fununu zinadai MBS anamla kuchner
 
Kuna picha moja imeleakishwa kule twitter,
lijamaa moja limevaa kama daktari,koti jeupe,ameshika msumeno wa kukatia mifupa,bonesaw mkononi,kisha kwa chini kuna vipande vya nyama ,halafu kuna box la mbao liko wazi nadhani likisubili kuwekwamo hivyo vipande vya kashoggi,

Trump anafanya juu chini kumwokoa MBS,tatizo vyombo vya habari vimekaza na pia baadhi ya member wa congress,
baada ya kubanwa sana Trump anadai atakuwa na majibu sahihi ndani ya siku mbili,

MBS ni katili sana wala humlinganishi na kina Saddam,huyu ni mnyama,
miezi miwili iliyopita walimkosakosa kumuua,yeye na babake wakakimbilia sultan airbase ambayo ni base ya wamarekani,
Mbs analindwa na mamluki wa Blackwater,hawa ni security contractor wanaongozwa na mmarekani Erick prince.
Mbs yuko karibu sana na jerald kuchner,mkwe wa Trump,
kuna kipindi huyu kijana aliwahi kufiriska,Mbs akampa pesa za kutosha kurudi kwenye biashara,
fununu zinadai MBS anamla kuchner
 
Kama Obama alikuwa anasikiliza maongezi wa chancellor wa ujerumani na kiongozi wa EU Bibiye Angel Merkel unashangaa ya balozi...

Cia wanafanya hivyo karibia kwa kila nchi na viongozi..
Hata Urusi na North korea nao aliwadukua sio...?
 
Back
Top Bottom