CIA: Crown Prince Ordered Khashoggi's Assassination

CIA: Crown Prince Ordered Khashoggi's Assassination

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
7,466
Reaction score
13,031
PARALLAX-CIA-logo-screenshot-759x500.png

Hitimisho hilo la CIA kuwa Mtoto wa Kifalme, Mohammed bin Salman aliagiza mauaji ya Mwanahabari, Jamal Khashoggi nchini Uturuki lina kinzana na taarifa ya Saudi inayodai hakuhusika

CIA imesema timu ya watu 15 ilienda Istanbul kwa kutumia ndege ya Serikali mwezi Oktoba na kumuua Khashoggi ndani ya Ubalozi wao alikoenda kuchukua nyaraka muhimu kwa ajili ya harusi yake na Mwanamke wa Kituruki

Ili kufikia hitimisho hilo CIA imedai kuangalia vyanzo mbalimbali vya taarifa ikiwemo kuingilia simu kati ya Balozi wa Saudi nchini Marekani ambaye ni Kaka wa Mohammed bin Salman, Khalid bin Salman na Khashoggi

Inadaiwa Khalid alimwambia Khashoggi aende kwenye ubalozi wao huko Istanbul kuchukua nyaraka hizo huku akimuhakikishia kuwa ni salama kufanya hivyo

Haiko wazi kama Khalid alikuwa anajua kama Khashoggi atauawa ila baada ya kuongea na Mwanahabari huyo alipiga simu ambayo uelekeo wake ni aliko kaka yake, Kiongozi wa Saudi Arabia

Hata hivyo, Msemaji wa Balozi ya Saudi iliyopo Washngton, Fatimah Baeshen amesema Balozi wake na Khashoggi hawakuzungumza chochote kuhusiana na kwenda Ubalozi wao wa Istanbul na kusema taarifa ya CIA ni uongo

105091956-GettyImages-937786294.530x298.jpg

=====

The CIA has concluded that Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman ordered the assassination of journalist Jamal Khashoggi in Istanbul last month, contradicting the Saudi government’s claims that he was not involved in the killing, according to people familiar with the matter.

The CIA’s assessment, in which officials have said they have high confidence, is the most definitive to date linking Mohammed to the operation and complicates the Trump administration’s efforts to preserve its relationship with a close ally. A team of 15 Saudi agents flew to Istanbul on government aircraft in October and killed Khashoggi inside the Saudi consulate, where he had come to pick up documents that he needed for his planned marriage to a Turkish woman.

In reaching its conclusions, the CIA examined multiple sources of intelligence, including a phone call that the prince’s brother Khalid bin Salman, the Saudi ambassador to the United States, had with Khashoggi, according to the people familiar with the matter who spoke on the condition of anonymity to discuss the intelligence. Khalid told Khashoggi, a contributing columnist to The Washington Post, that he should go to the Saudi consulate in Istanbul to retrieve the documents and gave him assurances that it would be safe to do so.

It is not clear if Khalid knew that Khashoggi would be killed, but he made the call at his brother’s direction, according to the people familiar with the call, which was intercepted by U.S. intelligence.

Fatimah Baeshen, a spokeswoman for the Saudi Embassy in Washington, said the ambassador and Khashoggi never discussed “anything related to going to Turkey.” She added that the claims in the CIA’s “purported assessment are false. We have and continue to hear various theories without seeing the primary basis for these speculations.”

The CIA’s conclusion about Mohammed’s role was also based on the agency’s assessment of the prince as the country’s de facto ruler who oversees even minor affairs in the kingdom. “The accepted position is that there is no way this happened without him being aware or involved,” said a U.S. official familiar with the CIA’s conclusions.

The CIA sees Mohammed as a “good technocrat,” the U.S. official said, but also as volatile and arrogant, someone who “goes from zero to 60, doesn’t seem to understand that there are some things you can’t do.”

CIA analysts believe he has a firm grip on power and is not in danger of losing his status as heir to the throne despite the Khashoggi scandal. “The general agreement is that he is likely to survive,” the official said, adding that Mohammed’s role as the future Saudi king is “taken for granted.”

A spokesman for the CIA declined to comment.

Over the past several weeks, the Saudis have offered multiple, contradictory explanations for what happened at the consulate. This week, the Saudi public prosecutor blamed the operation on a rogue band of operatives who were sent to Istanbul to return Khashoggi to Saudi Arabia, in an operation that veered off course when the journalist “was forcibly restrained and injected with a large amount of a drug resulting in an overdose that led to his death,”
 
Kuna uwezekano mkubwa sana Mfalme wa Saudi ndio alietoa amri hiyo kwasababu ya mambo yaliokua yanendelea kati Uturuki na Saudi Arabia kidiplomasia na baada ya mwandishi huyo kumwaga mchele kwa viongozi wa Uturuki haya mambo yanafanana sana na KM kwenye miti mingi
 
Wale Wa Saud 17 waliowekewa vikwazo kuhusiana na mauaji kumbe walikuwa wajumbe tu. Wanatimiza amri ya Boss, wakati mwenyewe kawekwa mbali.

Unless kama watafanya chochote baada ya haya matokeo.
 
Wale Wa Saud 17 waliowekewa vikwazo kuhusiana na mauaji kumbe walikuwa wajumbe tu. Wanatimiza amri ya Boss, wakati mwenyewe kawekwa mbali.

Unless kama watafanya chochote baada ya haya matokeo.

Hakuna lolote hapo wanajuana hayo waliweka na waliowekewa vikwazo
 
Nimechoka hapo pa kudukuliwa kwenye simu.
Hawa watu sijui wanajua siri ngapi hapa duniani.

Wanajua siri nyingi tu as devices na communication nyingi zinapitia kwenye satellites, we are not that private.

Halafu huyu Prince aliingia kwa gia ya kufanya reforms na kujidai ni mwanamageuzi chanya, kiko wapi!

Ama kaka mwandishi alikuwa jasusi mwenye nyeti nyingi so ilibidi aondoshwe for national interests?!
 
Yeah, Prince ikabidi ajilinde kwanza kwa kuwaondoa wana mageuzi kama Khashoggi.
Kujifanya reformer ilikuwa hypocrisy ya kiwango.
 
Yeah, Prince ikabidi ajilinde kwanza kwa kuwaondoa wana mageuzi kama Khashoggi.
Kujifanya reformer ilikuwa hypocrisy ya kiwango.
Sasa CIA wameshatoa tuhuma nzito kwamba yeye ndiye aliyeamrisha Khashoggi auawawe.. Hii ni diplomatic crisis kubwa sana sijui litaishaje!
 
Sasa CIA wameshatoa tuhuma nzito kwamba yeye ndiye aliyeamrisha Khashoggi auawawe.. Hii ni diplomatic crisis kubwa sana sijui litaishaje!

Marekani imeamua kuwawekea vikwazo vya kiuchumi watu 17 ambao ndo wametolewa kama mbuzi wa kafara.

Humo wamo mshauri wa zamani bwana Saud al-Qahtani, mshauri mwandamizi Maher Mutreb, na balozi wa Riyadh mjini Istanbul bwana Mohammed al-Otaibi.

Lakini yule Mmatumbi meja jenerai Mohammed al-Assiri ambae aliwahi kuwa naibu mkuu wa idara ya usalama ya Saudi Arabia yeye amepona na hataguswa.

Al Assiri yupo kwenye "inner circle" ya mwana mfalme na ni mwanajeshi wa ngazi za juu kabisa kwenye jeshi la nchi hiyo.

Kuna uwezekano mkubwa kabisa kwamba hao wauaji walikuwa ni wafungwa wa makosa makubwa kama ya mauaji na walitumiwa kwa kazi hiyo ambayo iliratibiwa na hao niliowataja hapo juu, ingawa hakuna ushahidi.

Hivyo wafungwa hao inawezekana wanasubiri kunyongwa kabisa kumaliza kazi na maisha yataendelea.
 
Sasa CIA wameshatoa tuhuma nzito kwamba yeye ndiye aliyeamrisha Khashoggi auawawe.. Hii ni diplomatic crisis kubwa sana sijui litaishaje!

Yaani hii conclusion ya CIA inabeba vitu vingi tu kwenye diplomatic crisis.
Ya Saudia na Marekani na dunia kwa ujumla.
Mahusiano ya Trump especially, na the royal family. Halafu kuna Kuna King, sijui atapewa nafasi gani kwenye hili.
Prince kaliamsha..
 
Nimechoka hapo pa kudukuliwa kwenye simu. Wa Saud nao wanajiachia tu.

Hawa watu sijui wanajua siri ngapi hapa duniani.
Hatuwezi kushindana na wazungu, inasemekana kwamba ili umpigie mtu simu na apokee lazima kwanza ifike marekani halafu ndo irudi kwa huyu unayempigia hata kama utakua umekaa nae hapo hapo ulipo.
 
N
Marekani imeamua kuwawekea vikwazo vya kiuchumi watu 17 ambao ndo wametolewa kama mbuzi wa kafara.

Humo wamo mshauri wa zamani bwana Saud al-Qahtani, mshauri mwandamizi Maher Mutreb, na balozi wa Riyadh mjini Istanbul bwana Mohammed al-Otaibi.

Lakini yule Mmatumbi meja jenerai Mohammed al-Assiri ambae aliwahi kuwa naibu mkuu wa idara ya usalama ya Saudi Arabia yeye amepona na hataguswa.

Al Assiri yupo kwenye "inner circle" ya mwana mfalme na ni mwanajeshi wa ngazi za juu kabisa kwenye jeshi la nchi hiyo.

Kuna uwezekano mkubwa kabisa kwamba hao wauaji walikuwa ni wafungwa wa makosa makubwa kama ya mauaji na walitumiwa kwa kazi hiyo ambayo iliratibiwa na hao niliowataja hapo juu, ingawa hakuna ushahidi.

Hivyo wafungwa hao inawezekana wanasubiri kunyongwa kabisa kumaliza kazi na maisha yataendelea.
Na hii ishu ya kuwatumia wafungwa wanaotumikia makosa makubwa imekuwa new trending crime.. Naskia ni mbinu inayotumika sana kwenye black ops kama hizo..
 
Yaani hii conclusion ya CIA inabeba vitu vingi tu kwenye diplomatic crisis.
Ya Saudia na Marekani na dunia kwa ujumla.
Mahusiano ya Trump especially, na the royal family. Halafu kuna Kuna King, sijui atapewa nafasi gani kwenye hili.
Prince kaliamsha..

Hapo zitakuja ishu za maslahi ili kuua soo.. wafungwa wa kijasusi, biashara, maeneo na kadhalika..
Watakaa mezani kumaliza mchezo.. Saudi will have to compromise a lot though..
 
Kudukua Ubalozini kumbe na yenyewe poa tu kwao. Hakuna respect kuwa Ubalozini ni 'Land' ya Nchi inayowakilishwa.

Si kudukua ila kusikiliza au kurekodi kwa kutafuta kumbukumbu.

Hivyo CIA wana access na exchange house ambapo wanaingia tu na kutafuta records.
 
Bora waje watuwekee hadharanu mazungumzo ya bashite na jiwe hata ya mwezi mmoja tu naamini nchi nzima tunaweza kuzimia kbsaaaaa

Acha tu.
Kama majamaa yanasikiliza mpaka maongezi ya simu. Kama hawa sasa, walikuwa wanajiachia tu.
 
Back
Top Bottom