CIA: Crown Prince Ordered Khashoggi's Assassination

CIA: Crown Prince Ordered Khashoggi's Assassination

Waarabu wanapenda sana kuuana, sijui kwanini.

Mfalme mikono yake imeloa damu ya Kashoggi.
 
Sasa CIA wameshatoa tuhuma nzito kwamba yeye ndiye aliyeamrisha Khashoggi auawawe.. Hii ni diplomatic crisis kubwa sana sijui litaishaje!
Trump anamtetea mfalme kwa nguvu zake zote kwa sababu za kiuchumi (mafuta).
 
Hiyo yaitwa "window dressing" ndicho kinachofanywa, yaani Marekani inavyopuuzia matendo mabaya ya Saudi Arabia kwa kisingizio wa ushirikiano bora.

Mwaka jana tu watu 150 waliuawa kwa kukatwa kichwa nchini humo kwa makosa mbalimbali.

Pia waandishi wa habari 30 hadi hivi sasa wapo magerezani au mahabusu na wengine wamepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Shkamoo Pesa walahi
 
Hii assassination ni moja ya mipango ya hovyo sana kuwahi kutokea. Yaani baada ya kuzima CCTV camera, kuukatakata mwili & kuuyeyusha kwa acid na kudeploy decoy ionekane Kashoggi alitoka nje, walidhani wameshamaliza mchezo. Sijui walisahau au hawakujua jamaa alimuacha nje mchumba wake?


The so called "Kill Team" na boss wao, inaonekana hawakujipanga.
Wameshangaza wengi..

.."The CIA sees Mohammed as a “good technocrat,” the U.S. official said, but also as volatile and arrogant, someone who “goes from zero to 60, doesn’t seem to understand that there are some things you can’t do..”
 
Back
Top Bottom