Chupuchupu msafara wa Rais Leo kupata ajali Manzese

Mkuu ina maana ulitaka mkuu wa kaya apate ajali au? Hivi gharama za uchaguzi tutaziweza kweli au istizahi? Yangu macho lakini siombei mambo mabaya yamtokee JK bali mapenzi ya Mungu yatimie.
Nakufahamu kama mtaalamu wa Economics hivyo naamini elimu ya oppotunity cost imelala hapa,
Unapoangalia gharama za kitu ukifanyacho, unatakiwa kulinganisha na hasara/faida utakayopata kwa kutofanya kitu m'badala wa hicho ukifanyacho.
Kuogopa kutumia say 50bil za uchaguzi kisha tuje tupate EPA za hapa na pale zinazofikia Say 300 itakua ni kufikiri kwa Masaburi na vilivyoko jirani yake kaka
 
alikuwa akitokea msoga kula sikukuu ambapo dereva tax mmoja aliingilia msafara, kilichosaidia ni utulivu wa dereva tax huyo kutulia upande wa kulia kwake na gari zilipita salama, dereva tax huyo amepigwa pingu na askari wameondoka nae, hiyo ni taarifa kwa wanajf, nawasilisha.

mwaya tena ukome msoga akuendeki ovyo ati kila sikukuuu mbona we uendi muulize kaenda kufanya nini
 
<font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">Mkuu ina maana ulitaka mkuu wa kaya apate ajali au? Hivi gharama za uchaguzi tutaziweza kweli au istizahi? Yangu macho lakini siombei mambo mabaya yamtokee JK bali mapenzi ya Mungu yatimie.<br />
</span></font>
<br />
<br />
upunguani huo kudhani JK akifa kuwa kutakua na uchaguzi mpya, Kasome Katiba achana na UNAPE wa akili. . !
 
hivi endapo mkuu wa nchi amekufa, anaechukua madaraka ni padri silaha si ndiye aliyeshika nafasi ya pili?
 
Back
Top Bottom