Chupi

Kazi yake ni kufunika ile kitu namesa mwensie............

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mbavu zangu mie kwa hizi comments,afu wee mleta mada majibu yako mengine hhahaaaa dah!
na ivi usingizi umekata acha kabisa nijichekee mie
 
Kzi yake haina kazi, mana kazi yake sio kazi kwa vile kazi ya chupi ni kazi ya nguo zingne ambayo kazi hyo inafanya kama kazi zingne:confused2:
 
Zinaongeza vitamin D kwa wanawake,kwa wanaume zinaongeza hamu ya kula...
 
Back
Top Bottom