Mi naomba kuuliza swali jamani,kazi ya chupi haswa ni nin?
ni vazi
Mi naomba kuuliza swali jamani,kazi ya chupi haswa ni nin?
Haina kazi yoyote zaidi ya karaha tu kwakuwa hata usipovaa hakuna atakayejua kuwa hukuvaa na ukivaa na ikaonekana hata Kidogo tu utaambiwa umekaa uchi
haina kazi ya maana zaidi ya kukuchubua mapaja na kukubana korodani harafu ukivaa muda mrefu mboo inapinda au inaweza ikawa fupi
Huyu ni kizazi cha dotcom... Hakusoma sayansi kimu darasa la tatu.. Topic yenye kichwa cha habari.....'chupi yangu safi'
kwani we uliinunua ya kazi gani?
haina kazi ya maana zaidi ya kukuchubua mapaja na kukubana korodani harafu ukivaa muda mrefu mboo inapinda au inaweza ikawa fupi
Wewe ni jinsia gani?
Inasaidia wenye matatizo ya macho kuona mbali
haina kazi. usiivae
Mi naomba kuuliza swali jamani,kazi ya chupi haswa ni nin?
Mada sijaandika kwamba nimenunua bali kazi ya chupi kiazi wewe