Stahmy Junior
Member
- Mar 11, 2011
- 82
- 16
Mi naomba kuuliza swali jamani,kazi ya chupi haswa ni nin?
Ina kazi ya nguo kama nguo zingine (kuficha sehemu zako za siri.)
Upuuzi mtupu!
Na kwa wanawake.....??kuzuia ngoma ikisimama isitokeze kwa nje
Mi naomba kuuliza swali jamani,kazi ya chupi haswa ni nin?
kwa madem haina kazi mana wamegundua bi_ki_ni siku izi,sa ile sio chupiNa kwa wanawake.....??