Chupi vs boxer

Asikusumbue hawa ndo wale wanaolipwa laki nane take home na wanajiona wako serious kutafta maisha wkt wanacheza tu duniani

haya maneno kwa mwenye akili lazma atulie na atafakari mara mbili mbili...safi sana mkuu....
 
Mi navaaga ya mume wangu siku mojamoja nikiwa nimeshinda nyumbani naona raha. Na ye akirudi akiniona anacheka!!
Chupi ni vazi la kiume, mi nivae ili ishikilie nini?
akuuuu mi natembea chukuchuku tu
 
cjaöna zile zilizotukuza miaka yetu,kitu V.i.p ukivaa after meanwhile iko tumbon hapo kwa msamba inapita kamba tu,sasa hv uzungu mwing bhana.
 
kiukweli wanaume hawatakiwi kuvaa chupi wala boxer, manake hivi vivazi vinakunja cone halafu haikui wala kunenepa kwa kukosa hewa. Iache iwe huru jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…