Chupi kwa kina dada- tuijadili...

Umeo?, if YES muulize mkeo if NO ask your girlfriend.
Anyway Imepelekwe "chit chat" tumsaidie huyu mtoto.
 
Jf bana! Watu wengine sijui mnakuwa mnawaza nini. Inaelekea mtoa mada unaishi nyumba yeye wakaaji wanaopenda kutundika chupi ovyo bafuni. Kwa hiyo kila ukiziaona unaanza kuziwazia.
 
chupi husaidia kuhifadhi sehemu nyeti kutoonekana ovyo na kulinda sehemu hizo zisipate madhara yanayoweza kuepukika kama mavumbi na vingine vinavyohusiana na hivyo. sababu za kijamii husaidia kupunguza mtikisiko wa makalio au muonekano wa haraka wa eneo husika. zipo chupi za aina nyingi kutokana na matumizi ya wakati huo na wakati wenyewe.

tatizo letu wadada chupi zinaanza kuvaliwa pasipo kufwata taratibi na maana husika za usiku tunavaa mchana za chumbani tuna vaa nje. na huu ni ushamba tu ama kutokujua matumizi sahihi ya wapi zinatakiwa kuvaliwa zipi.
 
Kwa mwaname chupi inasaidia ukidinda kitu hakichomozi si unajua vishawishi nje nje nowdays
ila kwa mwanamke kwa wenye makalio makubwa bila chupi alafu unakatiza mtaa unaweza bakwa jamani
So chupi inasitiri maumbile kama makalio kufix discipline ya kutingishika
na kwa mwanamke akiwa kwa Lunar Eclipse pedi inashikizwa na chupi na kubaki intact kuzuia yale mambo kusambaa
 
Kalagesye! Kalagesyei! Jina hilo limenikumbusha mbali! Mwaka 1981 nikiwa darasa la kwanza niliiba kitabu cha kiingereza kutoka kwenye 'maktaba' ya baba, japo nilikuwa sijuhi kusoma rugha hiyo muhusika mwenye jina hilo katika moja ya contents za kitabu hicho bado namkumbuka sana.
Siri ya wizi wa kitabu hicho ilikuja kugundulika pale baba aliponisikia nikimuita mzee mmoja kijijini jina hilo la Kalagesye! Jioni yake nilipata kichapo huku mzee akihoji wapi nimelisikia jina hilo, ilibidi nisalimishe kile kitabu.

Kumbe nilizaliwa na 'hobi' ya kusoma!
 
Hivi wakulu hamjashtukia kuwa kuna trend imeibuka siku hizi ya wanawake kutovaa chupi?
 
Hivi kazi ya chupi kwa kina dada ni nini?
Ukiivaa haionekani na usipoivaa haionekani
Ukikaa vibaya ikionekana tu, utaskia 'umekaa uchi!'
Ukikaa vibaya isipoonekana, utaskia 'umekaa uchi'
Je kuna umuhimu gani kuivaa au kutoivaa?
umuhim wa chupi ni sawa na unapo zuia kitumbua kisiingie mchanga kwa kufungiwa kwenye karatasi
 
In short, chupi keeps your junk in place, supports your junk, and acts as a barrier between your junk and your clothes. Hii ni kwa wanaume na wanawake. Sijui unataka jibu liwe na depth kiasi gani, lakini kumbuka maumbile ya kike yana unyevu fulani 24/7, hivyo chupi huzuia nguo ya nje kuchafuka.

Pamoja na hilo, pia wanawake wanapata hedhi mara moja kwa mwezi. Chupi is used to support any sanitary napkins (or matambalaz) that women use during that time of the month.

Hujawahi kuona tofauti kati ya chupi vs no chupi?? Watu wengine the cheeks go in different directions without the support, kwahiyo chupi inasaidia kuzileta hizo buttcheeks pamoja.

Si vibaya kulala bila chupi usiku ili kuipa junk yako hewa. Ni muhimu kuvaa chupi za cotton ili kuruhusu junk yako kupumua.

Personally sioni ubaya kuona chupi maanake hata kariakoo wanauza nguo za ndani nje nje. Ni nguo nyingine tu kama suruali au sketi. I would rather see underwear thank buttcrack.

Any more questions?

Hivi kazi ya chupi kwa kina dada ni nini?
Ukiivaa haionekani na usipoivaa haionekani
Ukikaa vibaya ikionekana tu, utaskia 'umekaa uchi!'
Ukikaa vibaya isipoonekana, utaskia 'umekaa uchi'
Je kuna umuhimu gani kuivaa au kutoivaa?
 
lakini kumbuka maumbile ya kike yana unyevu fulani 24/7, hivyo chupi huzuia nguo ya nje kuchafuka.
Ina maana kwa kiswahili chepesi hapa unasema nyeti za wanawake ni chafu kiasi ambacho inabidi zifunikwe ili zisichafue nguo zao? Tobaaaa!
 
Inaelekea hujawahi kuwa na contact na nyeti za kike. Sijasema uchafu, nimesema unyevu. Hutofautiana rangi kutegemeana na siku kwahiyo inaweza kuacha doa kwenye nguo.

Is this a serious comment? If not, please grow up.

Ina maana kwa kiswahili chepesi hapa unasema nyeti za wanawake ni chafu kiasi ambacho inabidi zifunikwe ili zisichafue nguo zao? Tobaaaa!
 
Wanaume huvaa boxer sio chupi! Hii ni kwa ajili ya kuipa nafasi dushelele ipate nafasi ya kuwika anytime..!
 
Huo umuhimu wake ndo ningependa unijuze, sina mama, sina dada, sina mwanamke...
Zamaani ndo ilikuwa na umuhimu kutokana na shughuli za mwanadamu kwani chupi hizo zilikuwa kama bukta!!kwa wanawake leo haina maana kwa mwanamke maana wanavaa kama kamba!sasa hizi kamba zinasaidia nini??useless in particularly! HEART, Mlachake, mzabzab, Father of All, Baba V
 
Last edited by a moderator:
Hivi kazi ya chupi kwa kina dada ni nini?
Ukiivaa haionekani na usipoivaa haionekani
Ukikaa vibaya ikionekana tu, utaskia 'umekaa uchi!'
Ukikaa vibaya isipoonekana, utaskia 'umekaa uchi'
Je kuna umuhimu gani kuivaa au kutoivaa?

Kana ka nsungu umwelu? (Mtoto wa mzungu ni mweupe?)
 
Inaelekea hujawahi kuwa na contact na nyeti za kike. Sijasema uchafu, nimesema unyevu. Hutofautiana rangi kutegemeana na siku kwahiyo inaweza kuacha doa kwenye nguo.

Is this a serious comment? If not, please grow up.
Chumvini mie basi...
 
Hizo kamba (g strings /thongs) zilitengenezwa ili kuzuia kuonekana kwa pantyline. Yaani ile ilastic ambayo saa zingine inaweza kubana ngozi , matokeo yake unaona kabisa chupi ilipo na jinsi ilivobana vinyama vyako makalio. G string huzuia hiyo kitu kutokea KAMA ukivaa size yako. Unakuwa na protection hapo mbele bila pantyline huko nyuma.

See below

vplll.jpg

Back
Top Bottom