Chupi imeleta kizaazaa

Chupi imeleta kizaazaa

Kakimbia lindo? Mbona rahisi! Fimbo ya mbali haiui nyoka. Utaratibu wa kutumia iliyo karibu uendelee. Si ameyataka mwenyewe. Nawashangaa wanaokimbia mali zao badala ya kuzilinda.
 
hahahha washa washa inaelekea huyu binti jirani yako ulisha mu-washawasha?nalog off
 
Washawasha nakushauri ukusanye nguvu nyingi, ujenge nyumba yako (mbali na kambi za jeshi au barabara kuu) ili uishi kwa amani na bila usumbufu. Upangaji noma, kuna siku utasuuza vitu vingine zaidi ya chupi / bikini. Nawasilisha
 
Kakimbia lindo? Mbona rahisi! Fimbo ya mbali haiui nyoka. Utaratibu wa kutumia iliyo karibu uendelee. Si ameyataka mwenyewe. Nawashangaa wanaokimbia mali zao badala ya kuzilinda.
Kwahiyo unanishauri,niombe kazi kwa huyu binti? Nalog off
 
mkuu kama ni story ya kutunga hii kiboko ila its good, inatupa tahadhari wale tunaoishi nyumba za kupanaga tuwe makini, maana vituko vya nyumba za kupanga usipime mkuu.
 
Washawasha nakushauri ukusanye nguvu nyingi, ujenge nyumba yako (mbali na kambi za jeshi au barabara kuu) ili uishi kwa amani na bila usumbufu. Upangaji noma, kuna siku utasuuza vitu vingine zaidi ya chupi / bikini. Nawasilisha
Nimeshaanza kununua mabati,halafu nitafute kiwanja. Nalog off
 
Kama vipi nipe namba zake nijaribu kumpa ushauri.
 
mkuu kama ni story ya kutunga hii kiboko ila its good, inatupa tahadhari wale tunaoishi nyumba za kupanaga tuwe makini, maana vituko vya nyumba za kupanga usipime mkuu.
Mkuu hii sio stori ya kutunga ni live kabisa iliyonikuta. Nalog off
 
Back
Top Bottom