nilijua kama ni yake kwasababu kwa sasa yuko peke yake,na baada ya lile songombingo nilikwenda kumuuliza.Nalog offpole sana mkubwa
Kwanza tatizo ni kwamba wewe ulikos umakini. km tayari ulijua kuwa mkeo nafuatilia nyendo zako na huyo binti kwani uiokote na kuisuuza? lakini ulijuaje kua hiyo chupi ni yake?
nashukuru mkuu nimeshapoa,ndio najitahidi kumuelewesha ili aniamini.Nalog offEbanaeee!Kwanza pole,ninachokuambia ni kuwa ni vigumu sana yani sana kuishi pamoja kama hamuaminiani!
najitahidi kuwa mbali naye.Nalog offKm mkeo kaondoka na kwenda kwao basi mpe muda kwanza hasira ziishe na zikimalizika atakutafuta mwenyewe ila iwe kweli kua huyo binti hujamfunua utupu wake. na uwe makini maana mie naona harufu ya wewe kujipunguzia machungu kwa huyo binti nahisi dalili hizo uwe makini sana maana nyie watu wenye wake huwa mnasema kua wavivu kupika, kufua nk, angalia usimwite huyo binti kukupikia na kukufulia ukifanya hivyo siku anakuja kupika ndo utakuta amejilaza kitandani na kanga moko huku mapaja yakiwa nje.
Nakutakia heri mkeo arudi ila akukute salama bro.
hahaha haya bana.Nalog offUliweka kwenye nanihiii yako nini kwa bahati mbaya wakati unavuta hisia ikadondoka? ulitaka kupiga puli wewe tumeshakushitukia!!!
Habari zenu wana JF,
Ni hivi mimi naishi nyumba ya kupanga na my wife wangu na kuna wapangaji wengine katika nyumba hiyo,sasa kuna binti single kahamia katika chumba kimoja katika hii nyumba,basi baada ya kuzoeana naye mke wangu anasema hamuamini ingawa nimemuhakikishia kuwa sijafanya naye mapenzi wala sifikirii,basi mke wangu akaanza kumletea vituko huyu binti mpaka wakagombana na hapa niandikapo ni kuwa hawaelewani.
Sasa tatizo leo hii yule binti kaingia maliwatoni na kuacha chu pi yake akining'inia nyuma ya mlango.
Basi mke wangu naye akaenda kuniwekea maji maliwatoni ili nikakoge,basi nilipoingia nikaiona ile chupi nyuma ya mlango na mie kuanza kujimwagia maji baridi.
Lakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,basi nikaona ngoja niisuuze ili niirudishe tena nyuma ya mlango na nimtaarifu mwenye chu pi kwa kilichotokea,basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,basi likaanza bonge la zogo na kuniambia kuwa kumbe yule mpangaji mwenzangu nina uhusiano naye yaani mpaka chu pi namfulia!basi yeye kaamua kurudi kwao.
Yule mpangaji mwenzetu ikabidi nimuambie jinsi ilivyokuwa ili amuaminishe mke wangu kuwa hakunipa nimfulie ile chu pi yake,lakini yule binti mpangaji mwenzetu kagoma kuongea na mke wangu kwa madai kuwa mke wangu anaringa sana.
Jamani nimechanganyikiwa sijazoea kulala peke yangu.
Nalog off
Ni kwamba chupi za huyo mpangaji mwenzie zote anazijua na anajua gharama yake ndo maana kaifua ili asiingie gharama kununua nyingine ... F.A.LA sana huyuWewe ulijuaje kama ile chupi ni ya mpangaji mwenzenu kabla ya kumuuliza? Na muda wote haijaanguka mpaka wewe ulipokuwa unaoga? Mkeo hakuiona ila wewe tu ndio uliiona! Halafu kusuuza nguo (rinsing), maanake umefua.
Jifunze kutoa taarifa mapema juu ya anything suspicious.
Kabla yakumuanulia log off kwanzaNimecheka sana hapa.maana mpangaj mwenzangu ni bachela nae akifua kuful zake huzianika nje,mvua ikinyesha na acpokuwepo huwa napata wakat mgumu sana!NIMUANULIE?au niziache?