Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
- Thread starter
- #221
baada ya kumaliza kukoga nilikuwa nina mpango wa kwenda kumutaarifu mwenye chu pi yale yaliyotokea.Nalog offwe jamaa inaonyesha ni mtata sana ulianzaje kussuza kwan mwenye nayo alikuwa ameifua? na ye angeikuat mbichi c ndo mkeo angekuta mnagombana kwanin umefua chupi yake ila pole